Kazi ya Kusikiliza Kiingereza Kisha Uandike Maneno (Transcribing)

Acha hii Mipumbavu ipigwe ili ikome.
 
Dah hiyo mbinu ya kivita kweli.
 
Dhamana kwa ajili ya nini, kwamba nitakimbia na video zao au?

Ama kweli watu tuko wajinga wa kupindukia, kama mtu unatapeliwa kwa njia za kitoto hivi, inashangaza.
Watakwambia hayo ndiyo masharti yao, kama uko tayari sawa na kama hauko tayari basi, watu wanapigwa pesa kizembe sana
 
 
Nipo tayari mkuu ncheki kwa no 0753217246
 
YEHODAYA asante kwa kutujuza ubadhilifu uaofanyika mitandaoni.

mimi kama boss wa majobless wote naomba unipe mchongo wa Transcriptions job ambazo sio scam.
 
Kwa watu wote walionicheki DM, sijaweza kuwajibu wote. Lakini ili kuweka hali ya hewa vizuri kwenye hue uzi, cha kwanza kabisa ni kuwa sitahitaji unitumie hela yoyote, hata shillingi moja. Ukipata DM inakuambia utume hela kwanza kimbia.

Cha pili, sikutegemea kupata maulizo toka kwa watu wengi mno hivyo nilishindwa kujibu mmoja mmoja.

Lakini hii kazi ipo, na tutachagua watu ndani ya hii weekend na kujibu kila mmoja kabla ya jumatatu.

Kwa wanaotuma namba za simu, nitawasialiana na wewe pia, lakini muda mwingine usiweke namba ya simu hadharani. Kwa DM ni sawa.

Nimepata msgs nyingi mno, hivyo naangalia na nimejibu chache kwa uwezo wangu , japo nitajibu wote kabla weekend haijaisha.

Muwe na weekend njema wanajamii.
 
Ni vigumu, kuna audio zinawatu wenye accent nzito.
ile ni artificial intelligence mkuu, unadhani hawajafikiria yote hayo?
Halafu utamu wake inaweka mpaka time stamps, na speaker akibadilika inaonesha tags speaker 1:"........." Speaker 2: ".........."
Yan hata kama isipofanya 100% basi kazi yako transcriber itakuwa kuedit tu kidogo chini ya 5%.
Kwahyo hii kazi ya transcribing ipo ICU saiv (for english atleast)
 
Nimetumia pia, hata Descript na AI software nyingine. Mwisho wa siku kuedit inachukua muda mrefu kuliko kuandika mwenyewe. Sikiliza kiingereza cha msingapore ile amechanganya na accent ya kihindi. Hata AI software zenyewe zinachoka.

Kiufupi hata kama unatumia AI, mwisho wa siku ni lazima uedit. Ndio kazi hapo.
 
Umetumia pixel 7??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…