Kazi ya Ualimu imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha!

Mwl mkuu au mek au afs elm w utamnyenyekea kama unasaka cheo na vifursa uchwara. Kuna miamba hasa yenye digrii takatifu, sio zile za kuungaunga hadi tunawatongoza hao mabosi na wananyoshwa vzr tu.

Kipnd cha awam ya shetan mwenda kuzm ndo walianza kupandsha mabega.
 
Tulikataza humu kumsema mtu aliye jisakilifaisi maisha yake
 
Issue wala sion dharau tu...ISSUE hapo DHARAU NYINGI-MALIPO DUNI-MAISHA MAGUMU

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Issue wala sion dharau tu...ISSUE hapo DHARAU NYINGI-MALIPO DUNI-MAISHA MAGUMU

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Huo huo ualim Kuna watu wametoboa na mshahara kiduchi Ina depends on how una changa karata zako, police nao Wana lalamika hata wabunge,

Ok hongera lakin kwa kupata kazi mpya
 
Huo huo ualim Kuna watu wametoboa na mshahara kiduchi Ina depends on how una changa karata zako, police nao Wana lalamika hata wabunge,

Ok hongera lakin kwa kupata kazi mpya
Inategemea na maana yako ya KUTOBOA ndugu...
Watu wengi tunasurvive tu: EXISTING Vs LIVING
Kuna kuwepo tu (Existing) na Kuishi (Living):Wengi tupo tu, hatuishi...Tumpongeze mwenzetu kwa kupiga hatua...kwa kufanikiwa kufanya kitu roho inapenda, ana Amani sasa..kaanza kuishi

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Dah! nimejihc machozi...MUNGU ni mwema ipo pengine siku nitakuja kuandika ujumbe km huu..kila la kher uko uliko... endelea kutuombea nasi
 
Ndo maaana mnahamishia stress kwa wanafunzi.


Halafu hii tabia ni mbaya ya kuhamishia stress zao kwa wanafunzi (watoto wa watu). [emoji24]

Walimu wengine (wanawake) akivurugana kidogo na mume wake au akipigwa hasira anaenda kuzimalizia kwa kubutua watoto wa watu shuleni.! Imagine! [emoji848][emoji848]
 
Walimu wengi wmetoka familia duni. Mshahara 600+ lakini ukoo mzima wanataka mgao [emoji23][emoji23][emoji23] sasa huyu mtu atatoboa lini jameni?
Wanaopokea Hy 600+ ni wachache wengi mishahara tayari ina virus unakuta mkononi mwl anaondoka na 250+ bas
 
Binafsi ualimu umenitoa

Ni kweli kuna changamoto za hapa na pale ila pia kuna faida kutegemeana na mazingira uliyopo

Ualimu ulinipa muda wa kutosha,muda huo ulinipa nafasi ya kufanya mambo kadhaa ambayo yalinipa pesa na kunipunguzia machungu.

Kwa mwaka unapata likizo mara 4,na bado unaweza omba ruhusa siku7 na ukakaa siku hata 20 kikubwa uwasiliane na mkuu wako vizuri.

Niliweza kufuga nguruwe mkoa tofauti na nilipo,nilisimamia vyema kama nipo hapo hapo,kila mwezi nilipata siku5 z kuwa huko na likizo zote nakua huko hadi wafanya kazi wakanyooka.

Nikalima vizuri tu na huku kila siku kuanzia sa9 nafanya shughuli za hapa na pale za mjini ambazo per day sikosi 20,10 kama faida.

Kwa mwaka ilikua lazima nikutane na sio chini ya 50m, ila mambo ya kutaka heshima na allowanse haya huku muda hupati nao ni upuuzi ulioniponza.

Nikiri tu,nilijenga nikiwa mwalimu,
Usafiri nilinunua nikiwa mwalimu
Ndugu zangu niliwapa mitaji nikiwa mwalimu
Huku niliko faida zipo ila muda hakuna kabisa
 
Watu wote waaoponda ualimu ni aidha siyo walimu a ni walimu wenye MATATIZO ya kisaikolojia.

Maana kiuhalisia Ualimu kiutumishi una Afadhali kubwa kuliko kada nyingi tu serikalini.
  • Mshahara
  • Likizo ( Muda)
 
Hivi baadhi yenu mnaojiita walimu mna akili timamu kweli?
Yaani unakutana na changamoto za kazini kwako unazihamishia jamiiforums?

Ulishawahi kuona mwanajeshi, askari polisi, usalama wa taifa madaktari n.k wanafungua nyuzi kulalamikia mambo ya kazi zao?

Kwani hamkai vikao mkayasema huko kuliko kujivua nguo humu?

Je, kuna kada yenye ubabe mwingi na kupelekeshana kama za majeshi? Mbona wao hawaji humu kulalamikia changamoto za kazi zao?

Hamna maadili ya kazi!
 
Una miaka 25 na umefundisha kwa miaka 17,je ulianza kazi na miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…