Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
We jamaa utakuwa...Unazungumzia ualimu wa ulaya au bongonyoko, hakuna mwalimu anaepewa allowance usitake kuwashika watu masikio hapa, ni mkuu wa shule peke ake anapewa 250000 ya madaraka na majukumu yake
Maendeleo kwenye maisha ni zaidi ya kujenga na kununua usafiri.Kujenga n kununua usafir bado unaona si kitu ?
Sawa ila shukur kwa kdg upatacho mzee hata icho kuna watu mpk wanakufa hawapati, kwaio usiongee kwa kubeza kwamba et unaishia kujenga tu na kausafiri.Maendeleo kwenye maisha ni zaidi ya kujenga na kununua usafiri.
#YNWA
Hata kusimamia uchaguzi ulikuwa hupati?Ninapata allowance
(1)usafiri.
Zamani nilikuwa natumia miguu, nikakopa nikununua bodaboda ikawa inanisadia. Nadhani hii ndio Hali wanayoishi walimu kwa Sasa. Hujajiongeza utaishi Kwa taabu.
Kwa Sasa transport allowance IPO. Namshukuru Mungu.
(2) House allowance IPO. Awali nilipangisha. Nikakopa nikajenga Kwa taabu Sana.
Serikali inattuhadaa Sana hapa kujenga nyumba za walimu"kwio"
Najiuliza kwanini sikupata hii kazi mapema? Mwalimu asipojipanga ataishia kuishi maisha ya taabu.
(3) Heshima. Jamani hakuna Jambo muhimu katika maisha kama heshima.
Sasa maendeleo ni yapi? Kwenda mbinguni?Maendeleo kwenye maisha ni zaidi ya kujenga na kununua usafiri.
#YNWA
Yaani watu bwana. Hakuna kazi itakuoa kila kitu unachotaka. Shukuru hicho ulicho nacho. Muhimu uzima.Sawa ila shukur kwa kdg upatacho mzee hata icho kuna watu mpk wanakufa hawapati, kwaio usiongee kwa kubeza kwamba et unaishia kujenga tu na kausafiri.
Bachelor...Professional teachers wanalipwa kiasi gani take home mwenye ufahamu
1. Hiyo nyumba ni aina ganiSasa maendeleo ni yapi? Kwenda mbinguni?
Sina mbaya ila, Niko halmashauri miaka 10 Moja wapo ya kazi nayoiona ya kifal-a huku Halmashauri ni UALIMU.Sawa ila shukur kwa kdg upatacho mzee hata icho kuna watu mpk wanakufa hawapati, kwaio usiongee kwa kubeza kwamba et unaishia kujenga tu na kausafiri.
Yaani watu bwana. Hakuna kazi itakuoa kila kitu unachotaka. Shukuru hicho ulicho nacho. Muhimu uzima.
Uchaguzi ni kila miaka 5Hata kusimamia uchaguzi ulikuwa hupati?
Ndio maana tunataka Katiba Mpya ila walimu hawatakiπ πZipo.
Wakati mwalimu mwenye bachelor anaanza na TGST D = 745k basi huko TRA wanaanza na Mil 1.8
Hawa wawili walikaa darasani wote miaka 3, wakalipa ada pamoja, chuo kilikuwa kimoja.
Ila tu sababu huyu kaajiriwa halmashauri huyu TRA basi huyu anamzudi huyu mshahara mara 3..!!!
#YNWA
Maza kama Maza A.K.A Mama Edina.Ki serious, vita ni kuvute. Kwa msiojua wanawake tunavuliwa Sana nguo
Mkuu hatuwezi kulingana usafiri ni usafiri tu. Kama wewe una Rav 4 kuna mwingine ana Prado. Tayari hiyo ni tofauti kubwa. Lakini wote ni usafiri1. Hiyo nyumba ni aina gani
2. Huo usafiri wa aina gani
3. Assets zipo
4. Kiwango cha liability.
5. ........
6. ......
#YNWA
Sasa mtu anaendesha boda atakuwaje na akili ule upepo huwa unapeperusha akili yote [emoji3]
Aisee juzi nilipita sehem nikakuta mabodaboda wanabishana Kua hakuna mwalimu wa shule ya msingi mwenye mshahara wa 1m nkacheka sana aisee..[emoji28]
Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
Ras punguza kuvuta bangi Rasta ndio usome Tena.Umesema una umri wa miaka 25.
Kazi ya ualimu ulianza miaka 17 iliyopita!?
25-17=8
kwa hiyo ulianza kazi ya ualimu ukiwa na miaka 8!!??
Hii ni chai au uji?
Usikariri kwamba kila mwalimu anakopa huko NMB wapo wanaopata hiyo pesa na hawajakopa ,Mpaka mwalimu afike mil 1 basi unazungumzia level za TGTS G hukoo.
Mpaka afike huko itakua kasota sanaa plus bonge la deni NMB.
Kwahiyo Bodaboda walikuwa SAHIHI.
#YNWA
Mpaka mwalimu afike mil 1 kwenye mshaharq basi huyo kupata categorization za kutosha Tena hapo nachukulia kapandishwa bila longolongo.Usikariri kwamba kila mwalimu anakopa huko NMB wapo wanaopata hiyo pesa na hawajakopa ,
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nipende kukuambia uliharibu maisha yako mwenyewe ulipokopa na kwenda kujengaπππππππ mkopo sio kitu cha kujengea wekeza mambo yapo mengi ticha unafundishwa hadi psychology ila unakua zezeta kweli bado kazi ipo kwa walimu wetu kuwapa ujuzi ili waweze kuuhamisha kwa watoto wetu wanaowafundishaNinapata allowance
(1)usafiri.
Zamani nilikuwa natumia miguu, nikakopa nikununua bodaboda ikawa inanisadia. Nadhani hii ndio Hali wanayoishi walimu kwa Sasa. Hujajiongeza utaishi Kwa taabu.
Kwa Sasa transport allowance IPO. Namshukuru Mungu.
(2) House allowance IPO. Awali nilipangisha. Nikakopa nikajenga Kwa taabu Sana.
Serikali inattuhadaa Sana hapa kujenga nyumba za walimu"kwio"
Najiuliza kwanini sikupata hii kazi mapema? Mwalimu asipojipanga ataishia kuishi maisha ya taabu.
(3) Heshima. Jamani hakuna Jambo muhimu katika maisha kama heshima.