Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Wakuu katika Kazi ambazo zinalipa ni pamoja na udalali.
Hii inakuhitaji uwe at least unajua kiingereza , mwandiko mzuri na kuwa na ushawishi wa kuongea vyema.
Kiufupi njia ambazo natumia kufanya hii biashara ni kuwa na smartphone nzuri , laptop kali .
Kisha naaanza kutangaza bidhaa mbalimbali .
Sasa wakati naanza hii Kazi sikutegemea kuwa itanipa pesa.
Mimi bidhaa ninazouza ni slow moving Ila siku nikitusua natusua kweli kweli.
Wiki iliingia simu ya Kazi , ghafla nikaambiwa nipokee na kufanya mazungumzo .
Sasa tayari nimeshapiga 6 Million
Hapa nilipo najua hii million sita ni mshahara wa mtu wa mwaka mzima .
Leo huko kijijini nimewapa jumla laki nane nimewanunulia gas na jiko lake.
Nimewavutia Maji.
Wakuu tuendelee kupambania