DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Yes , nimekupata vzr kuwa mtu kati ni kama kuwa agent , broker n.kWala sio utapeli, kosa ni serikali kutoweka regulations. Unapoagiza gari unamhitaji dalali kuanzia Japan hadi linafika Dar, ukitaka nyumba, kiwanja ni kazi ya dalali, ukihitaji kitu mtandaoni, utaingia jiji letu, kupatana nk hao wote ni watu kati.
Utofauti uliopo ni kuwa kwa tz bado hii Kazi wanaifanya kimazoea