Kazi ya udalali inalipa sana kiukweli siwezi kuiacha hii kazi

Kazi ya udalali inalipa sana kiukweli siwezi kuiacha hii kazi

Dalali ni kupe dalali ni shetani dalali nawachukia Sanaa.

Sipendagi ma middle man👞

Yaan anagawana na mkulima 50% 50% inauma Sanaa

Nenda kwenye kuuza au kupangisha nyumba anataka Kodi ya mwezi Bure bureee 🧐

Wapuuzi Sana na muda wote wanatafuna tafuna Kama mbuzi...( Washirikina Sana)
Ni kazi ya kishamba sana.
 
Mwanzoni nilikiwa siwezi kutofautisha maana ya dalali na Tapeli.. Ni kwasababu ya namna madalali wanavyofanya kazi zao.

Mimi kwenye biashara yako ukiwepo dalali nakuhakikishia hupati hata mia yangu.

Nafika kwenye duka namuona mwenye duka(muuzaji) alafu kenge ya dalali inanipigia kelele loo Hata unibembeleze vipi ushanikosa..

Udalali wa ki bongo bongo Sio kazi ni UTAPELI
 
Usichojua hata silent oceans ni Dalali

Wazungu hii kwao ni Kazi kubwa na inafahamika
Hao wazungu unao wataka udalali wao sio huu wa bongo... Kule mtu anapata Percent na wanalipa kodi. Huu wa huku ni Utapeli. Kitu kinauzwa Elfu 5 wewe unauza elfu 20. Hulipi kodi pia huoni huo ni utapeli
 
Unalipa kodi ili uwanufaishe wanasiasa sio ?.
 
Mkuu kwahiyo mm sina mtaji ?

Mtaji wangu ni akilii.
Hujasoma comment za wadau wanasema kuuza bidhaa usiyo kua nayo ni ujanja ujanja/ wizi/ utapeli

Kwaio mkuu 😊 unataka kusemaje ?

All in all,
Madalali NJAA wengi ni wabongo mixer utapeli na udanganyifu
 
Kama kuna mtu amefanya biashara kariakoo atakuwa anajua ni namna gani biashara hufanyika.

Hakuna ambaye hakwepi kodi mfanya biashara yoyote wa kati na mkubwa.

Ndo maana kina diamond na wafanyabiashara wengine wanakimbilia Ccm kwa lengo hilo
 
Hujasoma comment za wadau wanasema kuuza bidhaa usiyo kua nayo ni ujanja ujanja/ wizi/ utapeli

Kwaio mkuu 😊 unataka kusemaje ?

All in all,
Madalali NJAA wengi ni wabongo mixer utapeli na udanganyifu
Mkuu dunia imeshahama hizo zama GSM udalali ndo umempa utajiri.

So usiache kuwa mtu kati.
 
Mkuu dunia imeshahama hizo zama GSM udalali ndo umempa utajiri.

So usiache kuwa mtu kati.
Tofauti yake na wewe ni WAKATI WEWE UNAUZA MANENO.
Mwenzako GSM yeye ana mtaji ( DALALI MWENYE MTAJI)
Umeiona tofauti yako na GSM?
 
Dalali ni kupe dalali ni shetani dalali nawachukia Sanaa.

Sipendagi ma middle man👞

Yaan anagawana na mkulima 50% 50% inauma Sanaa

Nenda kwenye kuuza au kupangisha nyumba anataka Kodi ya mwezi Bure bureee 🧐

Wapuuzi Sana na muda wote wanatafuna tafuna Kama mbuzi...( Washirikina Sana)
Wanaumiza sana wakulima, ukipeleka mzigo sokoni bila dalali huwezi kuuza na wao ndio wanapanga bei
 
Dalali ni kupe dalali ni shetani dalali nawachukia Sanaa.

Sipendagi ma middle man👞

Yaan anagawana na mkulima 50% 50% inauma Sanaa

Nenda kwenye kuuza au kupangisha nyumba anataka Kodi ya mwezi Bure bureee 🧐

Wapuuzi Sana na muda wote wanatafuna tafuna Kama mbuzi...( Washirikina Sana)
S8nce you are for real, kuna mbanga ilikukuta nao hao for real 😂

Hao watu wanakula kwa mrija, wako radhi mali ibaki mwenye mali akose mpaka apate yeye 🤣🤣
 
Usichojua hata silent oceans ni Dalali

Wazungu hii kwao ni Kazi kubwa na inafahamika
Kwa wenzetu ina transparency kubwa sana kuliko unavyofikiri na hakuna uchawi. Huku bongo vijiti, mirunda midogo itatafunwa kwa ajili yako na teja anayeletwa 🤣🤣🤣.

Bi Mkubwa alikuwa anauza nyumba afanye jambo, dalali anamwambia kama unataka tufanye mazingira (kuroga) inunuliwe fasta, aligoma bahati nzuri alifanikiwa kupata hela sehemu nyingine.
 
Back
Top Bottom