Friji la mtumba
Senior Member
- Apr 7, 2024
- 119
- 154
Ukitaka kupanga nyumba unafanyaje mkuu😅😅 maana utakua mkaksi sanaMwanzoni nilikiwa siwezi kutofautisha maana ya dalali na Tapeli.. Ni kwasababu ya namna madalali wanavyofanya kazi zao.
Mimi kwenye biashara yako ukiwepo dalali nakuhakikishia hupati hata mia yangu.
Nafika kwenye duka namuona mwenye duka(muuzaji) alafu kenge ya dalali inanipigia kelele loo Hata unibembeleze vipi ushanikosa..
Udalali wa ki bongo bongo Sio kazi ni UTAPELI
Ukitaka kupanga nyumba unafanyaje mkuu😅😅 maana itakua mkaksi sanaMwanzoni nilikiwa siwezi kutofautisha maana ya dalali na Tapeli.. Ni kwasababu ya namna madalali wanavyofanya kazi zao.
Mimi kwenye biashara yako ukiwepo dalali nakuhakikishia hupati hata mia yangu.
Nafika kwenye duka namuona mwenye duka(muuzaji) alafu kenge ya dalali inanipigia kelele loo Hata unibembeleze vipi ushanikosa..
Udalali wa ki bongo bongo Sio kazi ni UTAPELI
yaan ni Watu wabad Sana hao..yaan ni matapeli Sana.S8nce you are for real, kuna mbanga ilikukuta nao hao for real 😂
Hao watu wanakula kwa mrija, wako radhi mali ibaki mwenye mali akose mpaka apate yeye 🤣🤣
Bora ule hata 2% Sasa kwa tamaa za wabongo unakuta anaweka profit ya 100% Bei ya kitu Cha 5,000 yeye kwa tamaa atakwambia @ 20,000Hapana Mkuu , huo ni mnyororo wa thamani .
Mkulima ka henya mbolea,palizi,kulima alafu kizembe zembe middle man anajipatia 50%50% na mkulimaWanaumiza sana wakulima, ukipeleka mzigo sokoni bila dalali huwezi kuuza na wao ndio wanapanga bei
📌📌📌Hayo majizi ndio maana hayana mafanikio zaidi ya kuvaa mabati kwenye vidole na minyororo shingoni,plus kufuga vitambi vya bia na supu za kongoro.Bora ule hata 2% Sasa kwa tamaa za wabongo unakuta anaweka profit ya 100% Bei ya kitu Cha 5,000 yeye kwa tamaa atakwambia @ 20,000
Si utapeli huo ni Nini hapo madalali wa bongo wengi ni wezi na matapeli
Huna akili!!!Kukoswa kazi ndo kukoje? Ni sawa na kukosa kazi?
Majinga Sanaa haya majamaa.📌📌📌Hayo majizi ndio maana hayana mafanikio zaidi ya kuvaa mabati kwenye vidole na minyororo shingoni,plus kufuga vitambi vya bia na supu za kongoro.
biashara nyingi haziendelei kwasababu ya hawa masarangeMajinga Sanaa haya majamaa.
Dalali wa Tanzania ni majambazi. Ila jamii inawalea ndiyo maana.Dalali ni kupe dalali ni shetani dalali nawachukia Sanaa.
Sipendagi ma middle man👞
Yaan anagawana na mkulima 50% 50% inauma Sanaa
Nenda kwenye kuuza au kupangisha nyumba anataka Kodi ya mwezi Bure bureee 🧐
Wapuuzi Sana na muda wote wanatafuna tafuna Kama mbuzi...( Washirikina Sana)
Hii nchi watu wanamtindio wa ubongo kila mwizi anajiita dalali.No professionalism in anything,mambo yote paranganyika🙌🙌🙌Mtu ambaye anaweza kuwa na uwezo wa kukusanya taarifa na kuwapelekea wahusika na hao wahusika wakaamua kuzifanyia Kazi kwa usahihi pasipo kulenga kumuumiza mnunuaji au muuzaji kisha wewe ukafaidika na ile asilimia chache hapo unakuwa umefanya Kazi vizuri.
Ila watu wanaojiita madalali kwa bongo wengi hawajui Namna ya kuifanya hii Kazi zaidi ya upigaji .
Wachache Kama Silent ocean , Hassanary sound , Dalali Mwanamke wanapata Sana pesa kwakuwa hii kwao ni Kazi Ambayo wanafanya kwa kufata utaratibu maalumu.
Mimi ninao wakubali ni wale ambao hufanya Kazi ya kuuza bidhaa ya mtu na wao kulipwa aslimia kadhaa na sio kitu kinauzwa mil 4 wewe unauza mil 5 yaani. Unapata faida kumzidi mwenye Mali na hapa ndo utapeli uzaliwa.
Hii nchi watu wanamtindio wa ubongo kila mwizi anajiita dalali.No professionalism in anything,mambo yote paranganyika🙌🙌🙌
Na huwezi kuona wahusika wakilikemea hili mpaka wapigwe na vitu vizito kutoka kwa hawa majizi(madalali).
Kweli ndugu na Wana tamaa Sana..ni majambazi kabisa.Dalali wa Tanzania ni majambazi. Ila jamii inawalea ndiyo maana.
Agents wapo duniani kote, hata amazon, eBay wote hao ni watu kati. Huwezi kuwakwepa watu kati katika maisha ya kibepari📌📌Madalani ni zao la kukoswa kazi,madalali wengi ni wezi!!!
Wala sio utapeli, kosa ni serikali kutoweka regulations. Unapoagiza gari unamhitaji dalali kuanzia Japan hadi linafika Dar, ukitaka nyumba, kiwanja ni kazi ya dalali, ukihitaji kitu mtandaoni, utaingia jiji letu, kupatana nk hao wote ni watu kati.Bora ule hata 2% Sasa kwa tamaa za wabongo unakuta anaweka profit ya 100% Bei ya kitu Cha 5,000 yeye kwa tamaa atakwambia @ 20,000
Si utapeli huo ni Nini hapo madalali wa bongo wengi ni wezi na matapeli