wax
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 5,945
- 5,733
Sawa mamakeUsiite mawazo ya mwenzako ya kipumbavu wakati wewe umeshindwa kuchangia chochote cha maana.kuwa na adabu sawa bibie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mamakeUsiite mawazo ya mwenzako ya kipumbavu wakati wewe umeshindwa kuchangia chochote cha maana.kuwa na adabu sawa bibie?
Mungu akusaidie, kama umepewa uongozi, na watu wanakudharau na haujui cha kufanya, mwombe Mungu akupe kazi nyingine, wee sio kiongozi. ungekuwa kiongozi usingehitaji hata kuuliza hapa.Nina wiki mbili toka niajiriwe katika kiwanda kimoja hapa mtwara. Mimi ni msimamizi wa vibarua wa wanaofanya usafi.
Changamoto iliyopo ni kua nikiwapa maelekezo kua usafi ufanyike katika maeneo yao wanaleta dharau, jeuri, kejeli. Wanataka niwe fea ila fea sidhan kama inafaa kazini
Majibu yao ni kua walikuepo hapa zaidi yako Leo wametimuliwa, hili jambo linanipa hofu na kutojiamini. Had hapa nishagombana na watu wawili ile tu kuwapa maelekezo wananimaindi.
Uongozi wa juu nao wananiambia nijitahidi kumalizana nao nisiwe naripoti ripot kila kitu. Nimekuja hapa kuomba ushauri jinsi ya kuitatua hii kadhia. Nahisi kuchoka.
Akileta mambo ya kwenye makaratasi kwa wamakonde niamini mimi atafukuzwa kazi ndani ya wiki mojaHapo uta ruin your work maana unatakiwa u apply
Laissez-faire leadership
E.g
At work: Leaders and supervisors stand back and let their employees make decisions.
Ndio kinacho Endelea hapo ofsn kwako kwa kuto kujua utajikuta umekua automatically Laissez-faire leader.
Ongoza kwa mfanoNina wiki mbili toka niajiriwe katika kiwanda kimoja hapa mtwara. Mimi ni msimamizi wa vibarua wa wanaofanya usafi.
Changamoto iliyopo ni kua nikiwapa maelekezo kua usafi ufanyike katika maeneo yao wanaleta dharau, jeuri, kejeli. Wanataka niwe fea ila fea sidhan kama inafaa kazini
Majibu yao ni kua walikuepo hapa zaidi yako Leo wametimuliwa, hili jambo linanipa hofu na kutojiamini. Had hapa nishagombana na watu wawili ile tu kuwapa maelekezo wananimaindi.
Uongozi wa juu nao wananiambia nijitahidi kumalizana nao nisiwe naripoti ripot kila kitu. Nimekuja hapa kuomba ushauri jinsi ya kuitatua hii kadhia. Nahisi kuchoka.
Dah! Aisee mbona mambo ni magumu kumbe unakuwa unatengeneza vita Tena juuWe ushawaonesha meno na mazoea kedekede watu kama hao ulitakiwa toka unaingia uwaoneshe heshima ila mazoea no.
Alafu jenga utaratibu wa kuwaita vikao kila mwanzo wa week na uwatengenezee passion kwenye kazi yao mfano; “Jamani usafi wa jana uongozi umependezwa nao sana nafikiri tukiendelea hivi tunaweza kupewa favour yoyote” Sometimes shiriki nao katika kufanya nao usafi ili wakuone hujikwezi bali unahitaji kazi bora, Jaribu kuwajua wote na uwe unauliza taarifa za wale waotokea kutokufika kazini kwa sababu mbalimbali na uwe unatuma salamu za pole, Hii itafanya wakuone unajali na watakupenda, Kuwa mcheshi kiasi unazungumza nao.
Badala ya kutumia maneno “Fanyeni Usafi” tumia “Tufanye usafi” Jiingize nawe kama mwenzao kimatamshi japo ufanyaji wako utakuwa wa kudonyoa donyoa ili kuwa-motivate
Hizo ni baadhi ya njia ambazo zitakufanya uwe kiongozi wa tofauti na waliokuwapo kabla, Ukiwa mzuri kwenye ku-pretend hao hao wanaweza kufanya ukapanda cheo maana watapenda kukuona ukiwa kiongozi kila mara.
Kingine Umuombe Mungu sana maana ukishatengeneza attractive kwa watu ukawa na ushawishi sana unatengeneza vita walio juu yako maana unawapa wasiwasi wa kuja kupora nafasi zao.
ila bachelor ya business management hukuipata bureHao nenda nao kimkakati tu, kwa sababu ninachoona wanataka kukuonesha kuwa wao ni wakubwa kuliko wewe. GIVE THEM WHAT THEY WANT.
Cheza na akili zao, wape fursa ya kujiona wakubwa, wape fursa wajione wao ndio waamuzi na wako juu yako.
Let them feel superior while you stay very low and submissive but watchful.
Wakishajaa kwenye mfumo utaona wanaanza kufanya kazi kama MANYUMBU tena kwa hamasa huku wakiamini wao ndio viongozi.
Au pita katikati yao UWAGAWANYE.... teua mmojawao au kiranja wao, au teuwa watano wawe viongozi wao.... kisha hao watano uwape motisha kubwa ili WAWASIGINE WENZAO. KWISHA KABISA.
Cc: Lamomy mshamba_hachekwi
Msimamishe kazi mmoja wao hasa anaye jiona kiongozi wao kwa mdaNina wiki mbili toka niajiriwe katika kiwanda kimoja hapa mtwara. Mimi ni msimamizi wa vibarua wa wanaofanya usafi.
Changamoto iliyopo ni kua nikiwapa maelekezo kua usafi ufanyike katika maeneo yao wanaleta dharau, jeuri, kejeli. Wanataka niwe fea ila fea sidhan kama inafaa kazini
Majibu yao ni kua walikuepo hapa zaidi yako Leo wametimuliwa, hili jambo linanipa hofu na kutojiamini. Had hapa nishagombana na watu wawili ile tu kuwapa maelekezo wananimaindi.
Uongozi wa juu nao wananiambia nijitahidi kumalizana nao nisiwe naripoti ripot kila kitu. Nimekuja hapa kuomba ushauri jinsi ya kuitatua hii kadhia. Nahisi kuchoka.
Kama mabosi wanasema uende nao hivyo hivyo. Hefu fanya kitu kimoja, kesho wachangamkie halafu nenda ofisini tulia tulii usimwambie mtu kuhusu majukumu yake hata kama utaona kuna sehemu hawajafanya usafi.Nina wiki mbili toka niajiriwe katika kiwanda kimoja hapa mtwara. Mimi ni msimamizi wa vibarua wa wanaofanya usafi.
Changamoto iliyopo ni kua nikiwapa maelekezo kua usafi ufanyike katika maeneo yao wanaleta dharau, jeuri, kejeli. Wanataka niwe fea ila fea sidhan kama inafaa kazini
Majibu yao ni kua walikuepo hapa zaidi yako Leo wametimuliwa, hili jambo linanipa hofu na kutojiamini. Had hapa nishagombana na watu wawili ile tu kuwapa maelekezo wananimaindi.
Uongozi wa juu nao wananiambia nijitahidi kumalizana nao nisiwe naripoti ripot kila kitu. Nimekuja hapa kuomba ushauri jinsi ya kuitatua hii kadhia. Nahisi kuchoka.
Kwani mkataba wao wa kazi unawapa majukumu gani na je wasipoyatimiza wanachukuliwa hatua gani?Nina wiki mbili toka niajiriwe katika kiwanda kimoja hapa mtwara. Mimi ni msimamizi wa vibarua wa wanaofanya usafi.
Changamoto iliyopo ni kua nikiwapa maelekezo kua usafi ufanyike katika maeneo yao wanaleta dharau, jeuri, kejeli. Wanataka niwe fea ila fea sidhan kama inafaa kazini
Majibu yao ni kua walikuepo hapa zaidi yako Leo wametimuliwa, hili jambo linanipa hofu na kutojiamini. Had hapa nishagombana na watu wawili ile tu kuwapa maelekezo wananimaindi.
Uongozi wa juu nao wananiambia nijitahidi kumalizana nao nisiwe naripoti ripot kila kitu. Nimekuja hapa kuomba ushauri jinsi ya kuitatua hii kadhia. Nahisi kuchoka.
Fanya hivi nyamaza usiwaulize chochote hata wafanye vile wanavyotaka wao au kaa nao mjadili kuwa nini kinawapa ugumu katika kazi zao kirafiki tu.Nina wiki mbili toka niajiriwe katika kiwanda kimoja hapa mtwara. Mimi ni msimamizi wa vibarua wa wanaofanya usafi.
Changamoto iliyopo ni kua nikiwapa maelekezo kua usafi ufanyike katika maeneo yao wanaleta dharau, jeuri, kejeli. Wanataka niwe fea ila fea sidhan kama inafaa kazini
Majibu yao ni kua walikuepo hapa zaidi yako Leo wametimuliwa, hili jambo linanipa hofu na kutojiamini. Had hapa nishagombana na watu wawili ile tu kuwapa maelekezo wananimaindi.
Uongozi wa juu nao wananiambia nijitahidi kumalizana nao nisiwe naripoti ripot kila kitu. Nimekuja hapa kuomba ushauri jinsi ya kuitatua hii kadhia. Nahisi kuchoka.
Yah hamna maisha mepesi, kadiri unavyopanda madaraja unakaribisha maadui wapyaDah! Aisee mbona mambo ni magumu kumbe unakuwa unatengeneza vita Tena juu