Wala usitie shaka yoyote mpenzi wangu Mamndenyi. Nimeng'atwa sikio na mdau kuwa huyo mwenyekiti alikuwa anakuvizia sasa akipewa taarifa kuwa atoe baraka za mimi kukuoa anaweza kuweka kauzibe. Na ndio sababu nimemtaja ili ajue kuwa hila zake tushazifahamu. Azawaizi mimi na wewe, wewe na mimi hadi ukamilifu wa jamhuri ya cc.
Kwa kuwa nitakuwa beneti na weye
sitaweza kuteleza kabisa.
ina maana Mwita Maranya katupiga bao, sikubali....!ha ha ha haaa
ha ha hivi Mwita Maranya unajua kuita mpenzi kweli umdhania siye kumbe ndiye
ha ha haaaa Mamndenyi mie jamani nina raha kiasi gani kumpata Mwita Maranya,
kwi kwi kwiiii, Baba V hana mpango wowote wa kimapenzi na mimi, yeye anataka kufundishwa somo la kilimo cha miti
bila shaka kwa sasa tutakuwa wote ili umbeya wake umwishie.
Mwita Maranya asante kwa kuifanya hii siku yangu
have a good evening.
Usisahau kutualika wa uswazi ktk hiyo ndoa..Mmmmh unataka kusema ni ndoa ya siri? Mwita Maranya hapa unanipa woga wa moyo.
ha ha ha haaa
ha ha hivi Mwita Maranya unajua kuita mpenzi kweli umdhania siye kumbe ndiye
ha ha haaaa Mamndenyi mie jamani nina raha kiasi gani kumpata Mwita Maranya,
kwi kwi kwiiii, Baba V hana mpango wowote wa kimapenzi na mimi, yeye anataka kufundishwa somo la kilimo cha miti
bila shaka kwa sasa tutakuwa wote ili umbeya wake umwishie.
Mwita Maranya asante kwa kuifanya hii siku yangu
have a good evening.
...Si unaona Mwita Maranya keshajichukulia?
Umeshachoka kuishi na kucha, meno na majicho yako eeh?
ina maana Mwita Maranya katupiga bao, sikubali....!
Usisahau kutualika wa uswazi ktk hiyo ndoa..
Sawa mheshimiwa nimekaa mbali na Mamndenyi. Mimi nasubiri 40 za eda zitimie atakuja mwenyewe (nimeambiwa na babu niwe na subira)
haji kwangu...kwangu kuna speshalisti wa kung'oa bila ganzi! hathubutu hata kusogea!!!
ila akienda huko niikomaanisha ntakushtua Mwita Maranya
Sawa mheshimiwa nimekaa mbali na Mamndenyi. Mimi nasubiri 40 za eda zitimie atakuja mwenyewe (nimeambiwa na babu niwe na subira)