sio ubabe...........ni mahaba hayo......refer kwa wale wanaotoka kule ule mkoa wa babu wa taifa
Ha ha ha haaah!! Kule kwa babu wa taifa anapigwa mwanamke na sio mwanaume kama hapa...........labda kama utamaduni nako umebadilika siku hizi...........
c.c: Mwita Maranya.
Ngoja niwajibu mafungu mafungu
kwa heshima sitaki niwataje majina yenu hapa,
Mamndenyi siyo mkorofi
niko very peace, sema tu sina bahati ya kuwa na mwanaume mtulivu
huwa napata machekibob ambao macho yao yako juu juu ndiyo maana naachika mara kwa mara.
Ila kwa sasa nitajitahidi kumpata mwanaume mwelewa ili niweze kudumu naye.
Dunia hii mambo ya ndani yamefika kwa washakunaku dah!
Ha ha ha haaah!! Kule kwa babu wa taifa anapigwa mwanamke na sio mwanaume kama hapa...........labda kama utamaduni nako umebadilika siku hizi...........
c.c: Mwita Maranya.
Madame B kwa kweli ni balaa, mtu kama mimi si anaweza kunivunjavunja siku moja tu hahahaaah!!
ha ha ha haaah!! Hivi kwa wanaume kusutwa sio sunna...?
muulize MziziMkavu ndo kaoa siku hizi; mimi nikaogopa hata kuwa uke wenza
Kha...!! MziziMkavu nadhani huko hafurukuti kabisa siku hizi.