Kelele za Tundu Lissu akiwa Ubelgiji ni sawa na fimbo ya mbali isiyoweza kuua nyoka. Arudi bongoland kuweka mbinyo wa kisiasa

Sasa Sasa fimbo ya mbali yakuwashia nini,? Unawashwa na vitu ambavyo havikuhusu
 
Hata alipoondoka Tz aliondoka kwa ulinzi mkali.
ulinzi wadunia sio wenu local huo ,analindwa MTU kwamabunduk nawatu wenye surambaya lakini keahokutwa unasikia MTU kadondoka ,aibu

Jamaaa anafanya vikao balaa Sweden ,nawengine wanavosema tunatoka ni matokeo ya vikao vyawatu mbelembele huko

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
kama mnateseka na mnaumia kwa meseji zake toka majuu basi Lisu kambana nyoka na karibuni atamuua
 

Hakuna umbali siku hizi! mawasiliano ya siku hizi umbali si lolote hasa kama hata mikutano hairuhusiwi. Hakuna tofauti hata moja tena Lissu wangeshamtengenezea kesi pamoja na Mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…