Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Ama yeye na wenzake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ama yeye na wenzake
Sasa Sasa fimbo ya mbali yakuwashia nini,? Unawashwa na vitu ambavyo havikuhusuFimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka hata kidogo. Lazima iwe karibu na kumfikia nyoka na kisha kumuua.
Lissu yupo Brussel anakula bata kwa mrija, lakini ana malalamiko mengi juu ya mambo yanayotamaraki hapa Tanzania.
Analalamika juu ya kutokuwa na katiba inayokidhi mahitaji ya watanzania. Hivyo anataka Tanzania wapate katiba mpya. Sasa akilalama akiwa Brusels ndio ujumbe utafika vizuri? No anatakiwa aje hapa bongo.
Analalamika juu ya utawala usiofuata sheria na kubambikia watu kesi. Mfano anadai kuwa Mbowe amebambikiwa tuhuma za ugaidi. Lissu aje Tanzania na awasaidie watu kama Mbowe ambao wanaoenewa. Maana msaada wake ni mahakamani.
Kwa ujumla Lissu ana malalamiko mengi ambayo kimsingi hawezi kuyafikisha akiwa Brusele anakula kuku kwa mrija huku anasikiliza rhumba la Kikongo.
N.B . Idugunde ni member wa Jf anayeishi Igunga akifanya kilimo cha Mpunga. Sio mwananchama wa chama chochote kile.
ulinzi wadunia sio wenu local huo ,analindwa MTU kwamabunduk nawatu wenye surambaya lakini keahokutwa unasikia MTU kadondoka ,aibuHata alipoondoka Tz aliondoka kwa ulinzi mkali.
Lisu arudi na kesi ya mbowe yakubuni hiyo ndogo kabisa yannLisu arudi nyumbani
Alibambikiwaga mwaka 2000 mkapa hana hamu hadileo rais mstafu na lisu wawatuIli abambikiwe nae
kama mnateseka na mnaumia kwa meseji zake toka majuu basi Lisu kambana nyoka na karibuni atamuuaFimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka hata kidogo. Lazima iwe karibu na kumfikia nyoka na kisha kumuua.
Lissu yupo Brussel anakula bata kwa mrija, lakini ana malalamiko mengi juu ya mambo yanayotamaraki hapa Tanzania.
Analalamika juu ya kutokuwa na katiba inayokidhi mahitaji ya watanzania. Hivyo anataka Tanzania wapate katiba mpya. Sasa akilalama akiwa Brusels ndio ujumbe utafika vizuri? No anatakiwa aje hapa bongo.
Analalamika juu ya utawala usiofuata sheria na kubambikia watu kesi. Mfano anadai kuwa Mbowe amebambikiwa tuhuma za ugaidi. Lissu aje Tanzania na awasaidie watu kama Mbowe ambao wanaoenewa. Maana msaada wake ni mahakamani.
Kwa ujumla Lissu ana malalamiko mengi ambayo kimsingi hawezi kuyafikisha akiwa Brusele anakula kuku kwa mrija huku anasikiliza rhumba la Kikongo.
N.B . Idugunde ni member wa Jf anayeishi Igunga akifanya kilimo cha Mpunga. Sio mwananchama wa chama chochote kile.
Kwani anarudi kwa ajili ya kesi tuLisu arudi na kesi ya mbowe yakubuni hiyo ndogo kabisa yann
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Kama sio kwakesi ngoja amalize Yale yamsingi kuhusu tz ya tapeli ccmKwani anarudi kwa ajili ya kesi tu
Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka hata kidogo. Lazima iwe karibu na kumfikia nyoka na kisha kumuua.
Lissu yupo Brussel anakula bata kwa mrija, lakini ana malalamiko mengi juu ya mambo yanayotamaraki hapa Tanzania.
Analalamika juu ya kutokuwa na katiba inayokidhi mahitaji ya watanzania. Hivyo anataka Tanzania wapate katiba mpya. Sasa akilalama akiwa Brusels ndio ujumbe utafika vizuri? No anatakiwa aje hapa bongo.
Analalamika juu ya utawala usiofuata sheria na kubambikia watu kesi. Mfano anadai kuwa Mbowe amebambikiwa tuhuma za ugaidi. Lissu aje Tanzania na awasaidie watu kama Mbowe ambao wanaoenewa. Maana msaada wake ni mahakamani.
Kwa ujumla Lissu ana malalamiko mengi ambayo kimsingi hawezi kuyafikisha akiwa Brusele anakula kuku kwa mrija huku anasikiliza rhumba la Kikongo.
N.B . Idugunde ni member wa Jf anayeishi Igunga akifanya kilimo cha Mpunga. Sio mwananchama wa chama chochote kile.
Ya msingi yapi yanayomkalisha kule kwa amsterdam?Kama sio kwakesi ngoja amalize Yale yamsingi kuhusu tz ya tapeli ccm
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Wewe wafikili Lissu anawaogopa,atakuja mda atafika ,ccm vipi Nyie?Lisu arudi na kesi ya mbowe yakubuni hiyo ndogo kabisa yann
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Ya msingi yapi yanayomkalisha kule kwa amsterdam?
Mbatizaji hata Mimi nawashangaa atarudije kazi haijaisha anayofanyaWewe wafikili Lissu anawaogopa,atakuja mda atafika ,ccm vipi Nyie?
acha ujinga wewe jitambue badilika chukua hatuaYa msingi yapi yanayomkalisha kule kwa amsterdam?
Kujitambua ni kumshabikia Lisu kukaa kwa amsterdam?