Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Ndio,mitazamo yote yote, niMimi nimejitenga?
hasi juu yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio,mitazamo yote yote, niMimi nimejitenga?
Lisu mbaya wake alishakufa! Sasa kinachomkalisha ubelgiji ni nin?..sio jambo la ajabu kwa WANAHARAKATI kulazimika kuhama nchi zao kwa muda.
..Tunao viongozi wengi wa Afrika ambao wamepata kuishi uhamishoni, kwa mfano Thabo Mbeki, Jacob Zuma, Robert Mugabe, Sam Nujoma, Emerson Mnangagwa, na wengine.
Wapo wengi walioyaweka Maisha yake rehani,waliombambikia vyesi vyesi vya uchochezi, na wale waogopao mwangwi wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, na wale wasio heshimu haki za msingi za raia pamoja na uzingativu wa sheria na katiba yetu. Hao wote wanamwogopa kama moto.Lisu mbaya wake alishakufa! Sasa kinachomkalisha ubelgiji ni nin?
Ajabu fimbo hiyo imekubutua hadi umekuja kuanzisha uzi baada ya kusikia maumivu yake, isingekuwa na maumivu sidhani kama ungeanzisha uziFimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka hata kidogo. Lazima iwe karibu na kumfikia nyoka na kisha kumuua.
Lissu yupo Brussel anakula bata kwa mrija, lakini ana malalamiko mengi juu ya mambo yanayotamaraki hapa Tanzania.
Analalamika juu ya kutokuwa na katiba inayokidhi mahitaji ya watanzania. Hivyo anataka Tanzania wapate katiba mpya. Sasa akilalama akiwa Brusels ndio ujumbe utafika vizuri? No anatakiwa aje hapa bongo.
Analalamika juu ya utawala usiofuata sheria na kubambikia watu kesi. Mfano anadai kuwa Mbowe amebambikiwa tuhuma za ugaidi. Lissu aje Tanzania na awasaidie watu kama Mbowe ambao wanaoenewa. Maana msaada wake ni mahakamani.
Kwa ujumla Lissu ana malalamiko mengi ambayo kimsingi hawezi kuyafikisha akiwa Brusele anakula kuku kwa mrija huku anasikiliza rhumba la Kikongo.
N.B . Idugunde ni member wa Jf anayeishi Igunga akifanya kilimo cha Mpunga. Sio mwananchama wa chama chochote kile.
Huko anafanya kazi nzuri sn kuliko angekuwa hapaungejua anachokifanya huko nibalaa na analindwa kuliko hata mama yetu
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Sure mkuuAjabu fimbo hiyo imekubutua hadi umekuja kuanzisha uzi baada ya kusikia maumivu yake, isingekuwa na maumivu sidhani kama ungeanzisha uzi
Lisu ni mwansheria nguri na msomi kweri kweri?Wapo wengi walioyaweka Maisha yake rehani,waliombambikia vyesi vyesi vya uchochezi, na wale waogopao mwangwi wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, na wale wasio heshimu haki za msingi za raia pamoja na uzingativu wa sheria na katiba yetu. Hao wote wanamwogopa kama moto.
Anayekosa ni yupi kati yenuLack of education
Ikishakuwa mbambikizi ilisha pewa lengo na hatma yake tayari.Lisu ni mwansheria nguri na msomi kweri kweri?
Sasa anaogopaje vikesi kesi?
Harakati huzaa matunda ikiwa tu zinafanyikia home ground. Ndio maana hata Anc walikuwa wanarudi kufanya mashambulizi nyumbani.
Lisu mbaya wake alishakufa! Sasa kinachomkalisha ubelgiji ni nin?
Atakuja uchaguzi ukikaribia maana ni nyoka msakatonge.Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka hata kidogo. Lazima iwe karibu na kumfikia nyoka na kisha kumuua.
Lissu yupo Brussel anakula bata kwa mrija, lakini ana malalamiko mengi juu ya mambo yanayotamaraki hapa Tanzania.
Analalamika juu ya kutokuwa na katiba inayokidhi mahitaji ya watanzania. Hivyo anataka Tanzania wapate katiba mpya. Sasa akilalama akiwa Brusels ndio ujumbe utafika vizuri? No anatakiwa aje hapa bongo.
Analalamika juu ya utawala usiofuata sheria na kubambikia watu kesi. Mfano anadai kuwa Mbowe amebambikiwa tuhuma za ugaidi. Lissu aje Tanzania na awasaidie watu kama Mbowe ambao wanaoenewa. Maana msaada wake ni mahakamani.
Kwa ujumla Lissu ana malalamiko mengi ambayo kimsingi hawezi kuyafikisha akiwa Brusele anakula kuku kwa mrija huku anasikiliza rhumba la Kikongo.
N.B . Idugunde ni member wa Jf anayeishi Igunga akifanya kilimo cha Mpunga. Sio mwananchama wa chama chochote kile.
Kwa hiyo atafia ughaibuni?..mbaya wake alikuwa na washirika wake na hao bado wako kwenye system.
Wewe wapi kijogoo D.Anadanga ulaya huyo
Kwa hiyo atafia ughaibuni?
Wewe ni CCM lialia, tunaweza kuweka hapa post zako zaidi ya laki. Au unataka tuanze kuzibandika?Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka hata kidogo. Lazima iwe karibu na kumfikia nyoka na kisha kumuua.