kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Mchezo wa wa mashindano ya Azam mechi kati ya Yanga vs Geita gold imeonekana Kelvin Yondani kumkanyaga makusudi Fiston Mayele asiyekuwa na mpira. Hii haina tofauti na walichokifanya wachezaji wengine kama Mukoko na wengine waliowahi kufanya hivyo.
Angalia hapa
Angalia hapa