Kelvin Yondani kumkanyaga makusudi Fiston Mayele lazima kuadhibiwe kama wengine

Kelvin Yondani kumkanyaga makusudi Fiston Mayele lazima kuadhibiwe kama wengine

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Mchezo wa wa mashindano ya Azam mechi kati ya Yanga vs Geita gold imeonekana Kelvin Yondani kumkanyaga makusudi Fiston Mayele asiyekuwa na mpira. Hii haina tofauti na walichokifanya wachezaji wengine kama Mukoko na wengine waliowahi kufanya hivyo.

Angalia hapa
 
Hujaangalia vizuri au umeamua usiione hiyo sehemu
Niambie hilo tukio lipo dakika ya ngapi kwenye hiyo video na mimi nakuwekea hapa hiyo clip ya mayele akimvuta mguu yondani

Labda alitumwa na Kocha wake/Mwamedi afanye hivyo!
 
Mchezo wa wa mashindano ya Azam mechi kati ya Yanga vs Geita gold imeonekana Kelvin Yondani kumkanyaga makusudi Fiston Mayele asiyekuwa na mpira. Hii haina tofauti na walichokifanya wachezaji wengine kama Mukoko na wengine waliowahi kufanya hivyo.

Angalia hapa

Hapo mayele ndio mwenye makosa,alitaka kumvuta mguu Yondani amuangushe
 
Nipe reference ya utovu wa nidhani alioufanya

Weka clip ukishindwa niambie ni dakika ya ngapi inayoonesha tukio la yondani kumfanyia fujo mayele kwenye hiyo video uliyotuwekea
 
Back
Top Bottom