Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
1,598
Reaction score
1,294
Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi.

Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe. Maisha yake mpaka anafikia miaka 16 yalikuwa nchini Nigeria. na baada ya miaka 16 Kemi alirudi Uingereza ambako alianza kuishi na Rafiki wa Mama yake.

Kemi ana Degree ya Kwanza na ya pili ya katika Computer Systems Engineering. Pia ana Degree katika Sheria. Mdada huyu endapo ataendelea vizuri, ana nafasi kubwa ya kuwa Waziri wa Kwanza Mwenye Asili ya Africa katika Taifa hili ambalo ni moja ya Mataifa Makubwa yenye Ushawishi Duniani

Mdada huyu amemshinda mpinzani wake Robert Jenrick yeye akipata kura 53,806 (56.6%) dhidi ya Mr Jenrick aliypata 41, 212 (43.4%)

View attachment 3141572

View: https://www.youtube.com/watch?v=a-CXq9auN9E
 
Jambo jema
Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi. Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe. Maisha yake mpaka anafikia miaka 16 yalikuwa nchini Nigeria. na baada ya miaka 16 Kemi alirudi Uingereza ambako alianza kuishi na Rafiki wa Mama yake.

Safi Sana hii....
 
WaNigeria ninachowapendea huwa hawaachi majina yao a asili ,hata mtoto azaliwe Ulaya au America lazima apewe jina la asili. Wadanganyika wanadai majina ya asili yana laana ,wanashindana kuwaita watoto wao Nancy, Junior wakati hawajawahi hata kuvuka border ya Julius Nyerere Airport au border ya KIA kwenda kwa hao kina Nancy halisi
 
Umesema mwafrica wa kwanza kua waziri? Kabla ya Sunak, kulikua na waziri wa fedha mweusi from either Nigeria or Ghana; juzi tu hapa.
Nawenda Nigerians, hata ukikutana nao nje ya nchini kwao, jamaa wanawavimbiaga hadi wenyeji, they don't fear anybody if they know they are right; halafu wao na Ghanaians ni watu wanapenda sana kusoma soma.
 
Huko Uarabuni Mtu mweusi hawezi kupewa nafasi kama hiyo wanatuita Al Abidi.
Nchi gani ya kiarabu inayo mnyima mweusi cheo? Kuitwa Al Abdi hio ni zamani sana yameisha kwisha. Kuna sehemu mimi nilisoma UK ukiwa Black basi usipite mitaa yao we unaongelea kwenye 1980 au 1990 labda.
 
Back
Top Bottom