Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

Najiuliza kama sisi tunaweza kuwaamini wahindi au wazungu wanaoishi hapa nchini na afrika kwa ujumla waongoze nchi kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi zetu
Waingereza wamempa uongozi mkubwa sana mnigeria na kabla ya hapo walimpa muhindi bila hofu Cha msingi walijali namna anavyoweza kuwavusha kwenye nyakati ngumu

Screenshot_20241102-221904.jpg
 
Nchi maskini umpe kiongozi mgeni?

Bora wazungu na wahindi wanaaminika kidogo

Ila ndugu waarabu watachinja wotu wote wabaki wait to

Mfano Zanzibar mzee arume angesnzia Leo wabantu wasingekuwapo
 
Ngozi nyeusi ikisikia mwenzao kapata uongozi Ulaya inakata mauno. Huku Mzungu akichukua fomu agombee uongozi cheki majina atakayoitwa.

Wazee mimi ntakuwa wa mwisho kuamini kuna race imeipita ngozi nyeusi kwa ubaguzi. Alichokosa mtu mweusi ni pesa tu.
 
WaNigeria ninachowapendea huwa hawaachi majina yao a asili ,hata mtoto azaliwe Ulaya au America lazima apewe jina la asili. Wadanganyika wanadai majina ya asili yana laana ,wanashindana kuwaita watoto wao Nancy, Junior wakati hawajawahi hata kuvuka border ya Julius Nyerere Airport au border ya KIA kwenda kwa hao kina Nancy halisi
Umesahau Hamis,Abdallah,Juma,Hassan haya yote ni majina ya Waarabu.

Watanganyika majina yetu ni Ndunguru,Kunjombe,Rumisha,Werema,Ngatuni,Chikoti.....
 
Hivi kwa nini Waafrika huwa wanafurahia inapotokea mtu mwenye asili ya Afrika kapata nafasi ya uongozi wa juu kwenye nchi zilizoendelea?
 
Unaongelea Waarabu hawa wenye kutesa na kuua wafanyakazi wao wa ndani Al Abidi kutoka Afriqiya Aswad.

Maiti nyingi za Wasichana wa Kiafrika zimerejeshwa kwenye Masanduku unafikiri sisi hatuoni?
Wacheni unafiki nyie na umbea hakuna hata daiili moja mnayo. Mara nyingi sana.mnahjaribu kuzitia doa nchi za kislamu. Hapa Tanzania kuna wanawake wanasumbuliwa kuliko hayo unayo ongea. Tatizo lenu mkienda nchi za watu kama wafanya kazi wa ndani mnakimbia mnaenda kufanya umalaya. Mkirudishwa mnasema mmenyanyaswa 😄 Kuna wafanyakazi wengi wako uarabuni hatujasikia story mnazo leta. Wambieni mfanyakazi wa ndani sio wakwenda Pangisha foleni wanaume hotelini.
 
Acha uongo
Hebu tuambie ilikuwa mji gani, na ni level gani ya shule?
Kijana mimi nilisoma Birkenhead Collage ipo Merseyside ukitaka kwenda Liverpool unapita kwenye tunnel unalipa 1 Pound ni 1.5KM tu. Kulikuwa na mitaa Liverpool ukiwa Black huingi na white akienda Liverpool 8 haingi. Bada ya kumaliza pale nilielekea Greater Manchester, katika mji wa Wigan. We bakia na ujinga wako unadhani wote tulipitia JKT sisi afu ndio upelekwe JWTZ 😄
 
Watanzania Bado wamelala.Huwezi kuwaona kwenye fursa kama hizo zaidi kujipendekeza tu Kwa serikali kupata uteuzi
Watanzania ni mirogi sana akikabidhiwa tu kaduka ka spare parts hakafiki hata 100 Millions anaiba na kukimbia ndio apewe position kama hizo siatauza nchi 😄
 
Nimetumia neno "Mungu" nikiwa na maana yangu Mungu ni wetu sisi Weusi Allah ni wa Waarabu.
Kumbe Mungu ni wa watu weusi tu sa Yesu ni mzungu au lile ni sanamu tu 😄 Ndio mana weusi hawaendelee kumbe wana Mungu wao tofouti na Warabu na Wazungu 😄

Punguzeni ujinga Allah ndio God ndio Mungu ni lugha tu tofouti.
 
Hiyo nafasi ya uongozi aliyopata katika chama ina ukubwa gani kwa kulinganisha na mfumo wetu huku?
 
Back
Top Bottom