Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

Najiuliza kama sisi tunaweza kuwaamini wahindi au wazungu wanaoishi hapa nchini na afrika kwa ujumla waongoze nchi kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi zetu
Waingereza wamempa uongozi mkubwa sana mnigeria na kabla ya hapo walimpa muhindi bila hofu Cha msingi walijali namna anavyoweza kuwavusha kwenye nyakati ngumu
Huyo siyo Mnigeria wala hawajawahi kuwa Mnigeria, ni Muingereza, amezaliwa Uingereza, kaishi, kasoma na kulelewa uingereza, ameolewa na Mzugu muingereza.
Huyo ni Muingereza - mweusi, siyo Mwafrika.

Watu weusi wanapofanikiwa nchi za watu mnakimbilia kuwafunika Uafrika na kuanza kujinasibu kupitia wao ilihali uafrika wao siyo uliowasaidia bali mifumo ya nchi hizo.

Wakitoka Waafrika walioishi nchi za Ulaya na Marekani kuja huko Afrika kukamata fursa na hata uongozi wa juu, huwa mnawakana si wenzenu na mnawaita vibaraka wa mabeberu.

Mayweather alishawarekebisheni kwamba, yeye siku zote atabaki kuwa black-american, siyo african-american.

Weusi siyo uafrika wala baba au babu siyo wanao dominate asili na mifumo ya maisha ya mtu, mtu ni matokeo ya culture anayoiishi, siyo culture ya mababa au babu zake ambayo yeye hajawahi kuiishi.
 
Mwingereza huyo ..
Huyo hata anawajua wanigeria bado si ajabu atawawekea na sunction 😄

Niliwahi kusoma na mabint wa kinigeria walikuwa hata wale boy friend zao ni wale pink nose, we huoni huyo mme wake ni nani? Kwanini asiwe mnigeria mwenzie.
 
Ninyi hiyo Dini yenu ya Kiislamu ni Chaos tupu na uongo mwingi

Mara mnasema Manabii wote kasoro Mohamed ni Wayahudi mara muanze kuwachukia.

Nilichogundua ni WIVU tu nothing else.
Qur'an mbona inakataa kabisa kuwa Ibrahim hakuwa Myahudi au Mkristo, Qur'an iliwauliza swali wakristo na wayahudi ni hivi; Mnasema Ibrahim ni Myahudi au Mkristo. Leteni dalili zenu. Hamna mtaishia kuimba kwaya tu.

Tazama Qur'an inavyo elezea ukweli hapo juhusu dini ya Ibrahim.

Qur'an

verses 3:65 to 3:68

Disputing with the Jews and Christians About the Religion of Ibrahim
Allah censures the Jews and Christians for their dispute with Muslims over Ibrahim Al-Khalil and the claim each group made that he was one of them. Muhammad bin Ishaq bin Yasar reported that Ibn `Abbas said, "The Christians of Najran and Jewish rabbis gathered before the Messenger of Allah ﷺ and disputed in front of him. The rabbis said, `Ibrahim was certainly Jewish.' The Christians said, `Certainly, Ibrahim was Christian.' So Allah sent down,

يأَهْلَ الْكِتَـبِ لِمَ تُحَآجُّونَ فِى إِبْرَهِيمَ

(O people of the Scripture (Jews and Christians)! Why do you dispute about Ibrahim,) meaning, `How is it that you, Jews, claim that Ibrahim was Jew, although he lived before Allah sent down the Tawrah to Musa How is it that you, Christians, claim that Ibrahim was Christian, although Christianity came after his time" This is why Allah said,

أَفَلاَ تَعْقِلُونَ

(Have you then no sense)

Allah then said,

هأَنتُمْ هَـؤُلاءِ حَـجَجْتُمْ فِيمَا لَكُم بِهِ عِلمٌ فَلِمَ تُحَآجُّونَ فِيمَا لَيْسَ لَكُمْ بِهِ عِلْمٌ

(Verily, you are those who have disputed about that of which you have knowledge. Why do you then dispute concerning that of which you have no knowledge)

This Ayah criticizes those who argue and dispute without knowledge, just as the Jews and Christians did concerning Ibrahim. Had they disputed about their religions, which they had knowledge of, and about the Law that was legislated for them until Muhammad ﷺ was sent, it would have been better for them. Rather, they disputed about what they had no knowledge of, so Allah criticized them for this behavior. Allah commanded them to refer what they have no knowledge of to He Who knows the seen and unseen matters and Who knows the true reality of all things. This is why Allah said,

وَاللَّهُ يَعْلَمُ وَأَنتُمْ لاَ تَعْلَمُونَ

(It is Allah Who knows, and you know not.)

Allah said,

مَا كَانَ إِبْرَاهِيمُ يَهُودِيّاً وَلاَ نَصْرَانِيّاً وَلَكِن كَانَ حَنِيفاً مُّسْلِماً وَمَا كَانَ مِنَ الْمُشْرِكِينَ

3.67. Abraham was not a Jew, nor a Christian; but he was one pure of faith and Muslim (who submitted to God with a sound heart). He was never of those who associate partners with God.
 
Quruani imetungwa karne ya saba mambo ya 3000yrs ago imeyakopi na kuongezea Confusion.
 
Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi. Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe. Maisha yake mpaka anafikia miaka 16 yalikuwa nchini Nigeria. na baada ya miaka 16 Kemi alirudi Uingereza ambako alianza kuishi na Rafiki wa Mama yake.
Kemi ana Degree ya Kwanza na ya pili ya katika Computer Systems Engineering. Pia ana Degree katika Sheria. Mdada huyu endapo ataendelea vizuri, ana nafasi kubwa ya kuwa Waziri wa Kwanza Mwenye Asili ya Africa katika Taifa hili ambalo ni moja ya Mataifa Makubwa yenye Ushawishi Duniani
Mdada huyu amemshinda mpinzani wake Robert Jenrick yeye akipata kura 53,806 (56.6%) dhidi ya Mr Jenrick aliypata 41, 212 (43.4%)
View attachment 3141572

View: https://www.youtube.com/watch?v=a-CXq9auN9E

Dada ametisha sana, kila la kheri
 
Back
Top Bottom