Waarabu wanaona mtu mweusi ni kijakazi.Huko Uarabuni Mtu mweusi hawezi kupewa nafasi kama hiyo wanatuita Al Abidi.
Roho itakuwa inawauma kuona Binti Mweusi kapewa nafasi zaidi ya Ukijakazi wa kazi za ndani.Waarabu wanaona mtu mweusi ni kijakazi.
Acha uongoNilisha soma nao hao wanigeria UK walikuwa wanajiona wao wazungu, tena anaweza kukutukana akasema we ni black hata kama wewe unaunafuu kwake π
Al bidi maana yake nini??Huko Uarabuni Mtu mweusi hawezi kupewa nafasi kama hiyo wanatuita Al Abidi.
Mtumwa.Al bidi maana yake nini??
Umesahau Hamis,Abdallah,Juma,Hassan haya yote ni majina ya Waarabu.WaNigeria ninachowapendea huwa hawaachi majina yao a asili ,hata mtoto azaliwe Ulaya au America lazima apewe jina la asili. Wadanganyika wanadai majina ya asili yana laana ,wanashindana kuwaita watoto wao Nancy, Junior wakati hawajawahi hata kuvuka border ya Julius Nyerere Airport au border ya KIA kwenda kwa hao kina Nancy halisi
Fikra potofu kudhani watapendelewa kumbe huweza kuwa kinyume chake. Mfano Urais wa Ubama na furaha ya Wakenya.Hivi kwa nini Waafrika huwa wanafurahia inapotokea mtu mwenye asili ya Afrika kapata nafasi ya uongozi wa juu kwenye nchi zilizoendelea?
Wacheni unafiki nyie na umbea hakuna hata daiili moja mnayo. Mara nyingi sana.mnahjaribu kuzitia doa nchi za kislamu. Hapa Tanzania kuna wanawake wanasumbuliwa kuliko hayo unayo ongea. Tatizo lenu mkienda nchi za watu kama wafanya kazi wa ndani mnakimbia mnaenda kufanya umalaya. Mkirudishwa mnasema mmenyanyaswa π Kuna wafanyakazi wengi wako uarabuni hatujasikia story mnazo leta. Wambieni mfanyakazi wa ndani sio wakwenda Pangisha foleni wanaume hotelini.Unaongelea Waarabu hawa wenye kutesa na kuua wafanyakazi wao wa ndani Al Abidi kutoka Afriqiya Aswad.
Maiti nyingi za Wasichana wa Kiafrika zimerejeshwa kwenye Masanduku unafikiri sisi hatuoni?
Kijana mimi nilisoma Birkenhead Collage ipo Merseyside ukitaka kwenda Liverpool unapita kwenye tunnel unalipa 1 Pound ni 1.5KM tu. Kulikuwa na mitaa Liverpool ukiwa Black huingi na white akienda Liverpool 8 haingi. Bada ya kumaliza pale nilielekea Greater Manchester, katika mji wa Wigan. We bakia na ujinga wako unadhani wote tulipitia JKT sisi afu ndio upelekwe JWTZ πAcha uongo
Hebu tuambie ilikuwa mji gani, na ni level gani ya shule?
Wasije wakamrudisha yeye Nigeria πHuyu Mwanamama kasema akichukua Uwaziri Mkuu ataanza Deportation ya Wahamiaji ambao hawataki kuAssimilate ππMujahidina wote makwao...π€£
Watanzania ni mirogi sana akikabidhiwa tu kaduka ka spare parts hakafiki hata 100 Millions anaiba na kukimbia ndio apewe position kama hizo siatauza nchi πWatanzania Bado wamelala.Huwezi kuwaona kwenye fursa kama hizo zaidi kujipendekeza tu Kwa serikali kupata uteuzi
Kumbe Mungu ni wa watu weusi tu sa Yesu ni mzungu au lile ni sanamu tu π Ndio mana weusi hawaendelee kumbe wana Mungu wao tofouti na Warabu na Wazungu πNimetumia neno "Mungu" nikiwa na maana yangu Mungu ni wetu sisi Weusi Allah ni wa Waarabu.