Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

Hahaha!

Mtazamo wa kipumbavu sana.

Hujui kuwa ‘kiongozi’ kwenye nchi za wenzetu ni mtumishi wa wananchi?
Haibadilishi kuwa yeye ni kiongozi kwa nafasi yake ana maamuzi zaidi kuliko watumishi wa kawaida

Mtazamo wako ndo umejaa chuki za kichawi kabisa, kutofurahia waafrika wenzako kufanikiwa kwenye nchi za wenzetu
 
Hapa kwetu angekua ana asili ya Asia wangesema ni beberu sijawah ona mwanajesh ana silia ya india au kiarabu hapa kwetu kweli mkoloni ni mwafrika mwenzetu
John Bulter
Walden.

Huyu jamaa alikuwa na vigezo vyote vya kufanya apewa Ujenerali mkuu lakini walimuita ofisi kipindi cha utawala wa Mwinyi wakamchana kabisa wewe ni kweli una vigezo ila tatizo asili yako.
 
Haibadilishi kuwa yeye ni kiongozi kwa nafasi yake ana maamuzi zaidi kuliko watumishi wa kawaida

Mtazamo wako ndo umejaa chuki za kichawi kabisa, kutofurahia waafrika wenzako kufanikiwa kwenye nchi za wenzetu
Nafurahia mafanikio ya Waafrika kwenye nchi zao.

Kemi ni Muingereza. Nafasi yake huko kwao hainihusi kabisa.
 
John Bulter
Walden.

Huyu jamaa alikuwa na vigezo vyote vya kufanya apewa Ujenerali mkuu lakini walimuita ofisi kipindi cha utawala wa Mwinyi wakamchana kabisa wewe ni kweli una vigezo ila tatizo asili yako.
Daaah bado tunaamini ukiwa mweusi ndo unafaa kuongoza kwa nchi zetu hizi bado akili ya kijamaaa haijaondoka vchwani mwetu na utumwa fikra
 
Kemi ni she is more Conservative kuliko viongozi wengi wa hivi karibuni wa Conservative party kwenye mambo mengi, maternity leave, minimum wage, immigration, colonialism, nk. Ni conservazive zaidi ya Trump kwenye social issues.

Wapo viongozi weusi waliokuwa juu kama Kwasi Kwarteng, James Cleverly, Butler kabla ya Kemi.
1730959886454.jpeg
 
Kemi Mwanamama mweusi mwenye asili ya Wazazi wa Nigeria waliohamia Uingereza ameibuka mshindi na kuchaguliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Chama Cha Conservative.

Kemi anachukua nafasi ya Waziri Mkuu aliyeshindwa Rish Sunak na kuanza Ngwe mpya.

Waziri Mkuu wa Uingereza wa Chama Tawala Cha Labour Keir Starmer amempongeza na kusema wanajivunia Kiongozi mweusi wa kwanza ndani ya kasri la Westminster.

My Take: Wanawake wanaendelea kuja Juu Duniani bila kujalisha rangi zao.

Hata huko USA ambako Wameshindwa mara 2 Bado wameonesha ndio wenye ushawishi mkubwa kwenye Vyama vyao,ni suala la mda tuu watanyakua Urais.

===============

Kemi-Badenoch-5742457.jpg

Kemi Badenoch became the Conservatives' new leader and the first Black woman to a head a major British political party on Saturday, after winning a leadership contest on a promise to return the party to its founding principles.

Badenoch, 44, replaces former Prime Minister Rishi Sunak and has pledged to lead the party through a period of renewal after its resounding defeat at Britain's July election, saying it had veered towards the political centre by "governing from the left".

On the right of the Conservative Party, Badenoch will likely back policies to shrink the state and challenge what she says is institutional left-wing thinking, saying it is time to defend the principles of free speech, free enterprise and free markets.

Badenoch becomes the Conservatives' fifth leader since mid-2016 after winning 57 percent of party members' votes in the final stage of a months-long contest that saw a field of six whittled down to two. She beat a former immigration minister, Robert Jenrick, who won 43 percent of votes.

Labour Prime Minister Keir Starmer welcomed her victory, saying "the first Black leader of a Westminster party is a proud moment for our country".
 
Attachments

  • Screenshot_20241109-094731.jpg
    Screenshot_20241109-094731.jpg
    361.5 KB · Views: 8
Kemi Mwanamama mweusi mwenye asili ya Wazazi wa Nigeria waliohamia Uingereza ameibuka mahindi na kuchaguliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Chama Cha Conservative.

Kemi anachukua nafasi ya Waziri Mkuu aliyeshindwa Rish Sunak na kuanza Ngwe mpya.

Waziri Mkuu wa Uingereza wa Chama Tawala Cha Labour Keir Starmer amempongeza na kusema wanajivunia Kiongozi mweusi wa kwanza ndani ya kasri la Westminster.

View: https://www.instagram.com/p/DB4LPzsIGNM/?igsh=YXltcXQxdmFnNWk=

My Take
Wanawake wanaendelea kuja Juu Duniani bila kujalisha rangi zao.

Hata huko USA ambako Wameshindwa mara 2 Bado wameonesha ndio wenye ushawishi mkubwa kwenye Vyama vyao.

Ameibuka mahindi ndo nini mkuu
 
Mwanamke ukiamua kuwa mwanasiasa ni lazima uonyeshe kuwa wewe ni tofauti sana na wanawake wengine.Unamkumbuka Magreth Thatcher,alikuwa anaitwa iron lady,unamkumbuka Angela Merkel,Condoleeza Rice n.k,sasa chama kama Consevative kumpitisha huyu mama tena ni mweusi,ni lazima atakuwa si wa kawaida...
 
Condoleez Rice hana lolote zaidi ya kuishiwa kuwa Waziri.

Yupo Benazir Bhuto,yupo Gloria Aroyo,wapo wengi sana wamewahi kuwa Marais huko Brazil,India na Sasa PM wa Italy ni Mwanamke.
 
Mwanamke ukiamua kuwa mwanasiasa ni lazima uonyeshe kuwa wewe ni tofauti sana na wanawake wengine.Unamkumbuka Magreth Thatcher,alikuwa anaitwa iron lady,unamkumbuka Angela Merkel,Condoleeza Rice n.k,sasa chama kama Consevative kumpitisha huyu mama tena ni mweusi,ni lazima atakuwa si wa kawaida...
Umeongea mantiki hapa. Awe tofauti haswa.
 
Back
Top Bottom