Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Israel yuko hoi jana kidogo Hezbullah wamlambishe mchanga nyauAnazidi kuwachakaza.
View: https://youtu.be/0MbBZoUlsBM?si=LTqcKwCRKKEjLS5g
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel yuko hoi jana kidogo Hezbullah wamlambishe mchanga nyauAnazidi kuwachakaza.
Well waafricq walikuwa na hopes wakati obama kachaguliwa ? What happened?Ni zamu yetu Waafrika kushine.
Heshima ya Mtu mweusi inazidi kurejea.Well waafricq walikuwa na hopes wakati obama kachaguliwa ? What happened?
Haibadilishi kuwa yeye ni kiongozi kwa nafasi yake ana maamuzi zaidi kuliko watumishi wa kawaidaHahaha!
Mtazamo wa kipumbavu sana.
Hujui kuwa ‘kiongozi’ kwenye nchi za wenzetu ni mtumishi wa wananchi?
John BulterHapa kwetu angekua ana asili ya Asia wangesema ni beberu sijawah ona mwanajesh ana silia ya india au kiarabu hapa kwetu kweli mkoloni ni mwafrika mwenzetu
Nafurahia mafanikio ya Waafrika kwenye nchi zao.Haibadilishi kuwa yeye ni kiongozi kwa nafasi yake ana maamuzi zaidi kuliko watumishi wa kawaida
Mtazamo wako ndo umejaa chuki za kichawi kabisa, kutofurahia waafrika wenzako kufanikiwa kwenye nchi za wenzetu
Daaah bado tunaamini ukiwa mweusi ndo unafaa kuongoza kwa nchi zetu hizi bado akili ya kijamaaa haijaondoka vchwani mwetu na utumwa fikraJohn Bulter
Walden.
Huyu jamaa alikuwa na vigezo vyote vya kufanya apewa Ujenerali mkuu lakini walimuita ofisi kipindi cha utawala wa Mwinyi wakamchana kabisa wewe ni kweli una vigezo ila tatizo asili yako.
Haikuripotiwa jf Kwa Ajili ya kuweka rekodi sawa.Kitambo sana hiyo 😂😂😂
Kimpumu hoyeeee 🌹
Unajua maana ya vision kwanza au unaropoka Kwa sababu mdomo hulipii na chura kiziwi ame guarantee freedom after speech?Hawa ni wanawake wasomi wenye vision sio km mbulula chura kiziwi.
Kemi Mwanamama mweusi mwenye asili ya Wazazi wa Nigeria waliohamia Uingereza ameibuka mahindi na kuchaguliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Chama Cha Conservative.
Kemi anachukua nafasi ya Waziri Mkuu aliyeshindwa Rish Sunak na kuanza Ngwe mpya.
Waziri Mkuu wa Uingereza wa Chama Tawala Cha Labour Keir Starmer amempongeza na kusema wanajivunia Kiongozi mweusi wa kwanza ndani ya kasri la Westminster.
View: https://www.instagram.com/p/DB4LPzsIGNM/?igsh=YXltcXQxdmFnNWk=
My Take
Wanawake wanaendelea kuja Juu Duniani bila kujalisha rangi zao.
Hata huko USA ambako Wameshindwa mara 2 Bado wameonesha ndio wenye ushawishi mkubwa kwenye Vyama vyao.
Condoleez Rice hana lolote zaidi ya kuishiwa kuwa Waziri.Mwanamke ukiamua kuwa mwanasiasa ni lazima uonyeshe kuwa wewe ni tofauti sana na wanawake wengine.Unamkumbuka Magreth Thatcher,alikuwa anaitwa iron lady,unamkumbuka Angela Merkel,Condoleeza Rice n.k,sasa chama kama Consevative kumpitisha huyu mama tena ni mweusi,ni lazima atakuwa si wa kawaida...
Indira Gandhi 😂😂😂😂Condoleez Rice hana lolote zaidi ya kuishiwa kuwa Waziri.
Yupo Benazir Bhuto,yupo Gloria Aroyo,wapo wengi sana wamewahi kuwa Marais huko Brazil,India na Sasa PM wa Italy ni Mwanamke.
Umeongea mantiki hapa. Awe tofauti haswa.Mwanamke ukiamua kuwa mwanasiasa ni lazima uonyeshe kuwa wewe ni tofauti sana na wanawake wengine.Unamkumbuka Magreth Thatcher,alikuwa anaitwa iron lady,unamkumbuka Angela Merkel,Condoleeza Rice n.k,sasa chama kama Consevative kumpitisha huyu mama tena ni mweusi,ni lazima atakuwa si wa kawaida...