Simu za thuraya zinafanyaje kazi. nasikia hizo nchi zetu hawawezi kuyaingilia mawasiliano yake. Nielimishe please. Labda na matangazo ya stream wanafanya hivyoWewe ndio unasema Kenya hawana uwezo wa kuzima streaming media? Hehehe unachekesha hakuna network yoyote kwenye Internet any satellite network ambayo serikali yoyote duniani hawawezi kudhibiti sababu serikali hiyo ndio iliyowapa kibali cha access kwenye maeneo yao.
Pamoja na wewe kuzungumzia govi hao jamaa wako mbele yetu hatua nyingi sana. Jufurahishe na maneno yasiyojenga eg goviHahah unaitwa Odhiambo eeeh OTIE NADO, nijua Mjaluo lazima uje juu,hahah Govi halijawahi kuwaacha wakenya salama.
sijasema hivyo, nasema siasa za kenya siyo kama za TZ ambako RAIS anaweza ukafanya lolote unalofikiria kama ilivyo sasa
Walisema serikali inahitaji polisi 500,000 kuwazuia NASA pale UHURU kufanya swearing in!Polisi wamelegeza minyororo! Jamaa tayari wamepenya wako uwanjani kumejaaa.
Wako UHURU PARK GADERN.
Sawa mkuu,waendelee kubarikiwa hivyo hivyo.Pamoja na wewe kuzungumzia govi hao jamaa wako mbele yetu hatua nyingi sana. Jufurahishe na maneno yasiyojenga eg govi
nipo nipo majukum tu my dearMasai dada mpenzi wangu umeonekana tena..!
Maana upo kama kakakuona aisei miss you mno..
Hilo kalimudu, mitambo anayo yeye, lkn hawezi kuamrisha jeshi liue watu pamoja na kuwa ni amiri jeshi! Litamtokea puani na urais wake!Mbona raisi wao amefungia matangazo ya television
Akiachwa, na kesho atasema "nataka kwenda IKULU, nisindikizeni."sioni shida kama anataka kuapishwa si wamuache.kwani akiapishwa atakuwa rais wa nasa siyo wakenya kikatiba
Ngoja nikupe dakika 10 nitakujibuMbona una kiherehere kama demu wa mtaa mzima..! Shutup nyau wewe..
tena mi naona uhuru anamlea sana huyo mjaluo.kamata tupa ndani.anataka nini kama siyo machafuko?Naona "baba wa demokrasia" kama anavyopambwa humu amefungia tv. Sijui wafuasi wake watasemaje humu.....
10 min nitakujibuRembukeni huyu, hana lolote..