KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

Wewe ndio unasema Kenya hawana uwezo wa kuzima streaming media? Hehehe unachekesha hakuna network yoyote kwenye Internet any satellite network ambayo serikali yoyote duniani hawawezi kudhibiti sababu serikali hiyo ndio iliyowapa kibali cha access kwenye maeneo yao.
Simu za thuraya zinafanyaje kazi. nasikia hizo nchi zetu hawawezi kuyaingilia mawasiliano yake. Nielimishe please. Labda na matangazo ya stream wanafanya hivyo
 
Hahah unaitwa Odhiambo eeeh OTIE NADO, nijua Mjaluo lazima uje juu,hahah Govi halijawahi kuwaacha wakenya salama.
Pamoja na wewe kuzungumzia govi hao jamaa wako mbele yetu hatua nyingi sana. Jufurahishe na maneno yasiyojenga eg govi
 
Mbona raisi wao amefungia matangazo ya television
Hilo kalimudu, mitambo anayo yeye, lkn hawezi kuamrisha jeshi liue watu pamoja na kuwa ni amiri jeshi! Litamtokea puani na urais wake!
 
Simu za thuraya zinafanyaje kazi. nasikia hizo nchi zetu hawawezi kuyaingilia mawasiliano yake. Nielimishe please. Labda na matangazo ya stream wanafanya hivyo
Rembukeni huyu, hana lolote..
 
odinga akamatwe anataka kuleta machafuko huko kenya
 
Naona "baba wa demokrasia" kama anavyopambwa humu amefungia tv. Sijui wafuasi wake watasemaje humu.....
tena mi naona uhuru anamlea sana huyo mjaluo.kamata tupa ndani.anataka nini kama siyo machafuko?
 
Although I don’t support this swearing in drama, I hate to see this kind of censorship of media. It’s quite characteristic of dictatorship ways and a stupid move in general. I personally don’t see like the swearing in is going to result in anything but it can be clearly seen that Uhuru and Ruto are terrified by it.
 
26993823_1210333202432601_6208962688585711554_n.jpg
 
Back
Top Bottom