Simu za thuraya zinafanyaje kazi. nasikia hizo nchi zetu hawawezi kuyaingilia mawasiliano yake. Nielimishe please. Labda na matangazo ya stream wanafanya hivyoWewe ndio unasema Kenya hawana uwezo wa kuzima streaming media? Hehehe unachekesha hakuna network yoyote kwenye Internet any satellite network ambayo serikali yoyote duniani hawawezi kudhibiti sababu serikali hiyo ndio iliyowapa kibali cha access kwenye maeneo yao.