Kenya: Hakuna pasu kwa pasu tena, Mahakama imeamua wanandoa wanaoachana kila moja achukue chake au kuonyesha ushahidi wa mchango wa mali ya kugawana.

Bado Ina changamoto nyingi, dada asie na kazi wala biashara, lakini ndie aliezaa na kulea watoto na familia yote, hana mchango wowote?, Kama anao ni sh ngapi kwa mwaka
Alilea peke yake [emoji51][emoji51][emoji51]huwezi sema jambo ambalo kikawaida ni wajibu na kawaida kwa mwanadamu kufanya mfano kwenda chooni
 
Kila mtu atatoa ushuhuda wa kina wa alichochangia,hakuna janja janja tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…