Kenya: Hakuna pasu kwa pasu tena, Mahakama imeamua wanandoa wanaoachana kila moja achukue chake au kuonyesha ushahidi wa mchango wa mali ya kugawana.

Kenya: Hakuna pasu kwa pasu tena, Mahakama imeamua wanandoa wanaoachana kila moja achukue chake au kuonyesha ushahidi wa mchango wa mali ya kugawana.

Bado Ina changamoto nyingi, dada asie na kazi wala biashara, lakini ndie aliezaa na kulea watoto na familia yote, hana mchango wowote?, Kama anao ni sh ngapi kwa mwaka
Alilea peke yake [emoji51][emoji51][emoji51]huwezi sema jambo ambalo kikawaida ni wajibu na kawaida kwa mwanadamu kufanya mfano kwenda chooni
 
Mimi kama mwanamke nimefurahia maamuzi haya. Natamani ifike na hapa. Watu wamekalia kuwaza mali hawajaguja jasho hata chembe. Wengine huishia kuua ili warithi. Ingekuja na hapa tu. Tumejawa dana na ubinafsi. Mtu kwao wanachechemea lakini anatka fanya kama fursa kwao. Watu tutafute vyetu kwa jasho aisee...
Kila mtu atatoa ushuhuda wa kina wa alichochangia,hakuna janja janja tena
 
Back
Top Bottom