edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Alilea peke yake [emoji51][emoji51][emoji51]huwezi sema jambo ambalo kikawaida ni wajibu na kawaida kwa mwanadamu kufanya mfano kwenda chooniBado Ina changamoto nyingi, dada asie na kazi wala biashara, lakini ndie aliezaa na kulea watoto na familia yote, hana mchango wowote?, Kama anao ni sh ngapi kwa mwaka