Kenya: Ilikuaje hadi mtu mmoja anaua watu 42 bila polisi kujua?? Je muuaji ni mwerevu kuliko vyombo vya usalama?

Kenya: Ilikuaje hadi mtu mmoja anaua watu 42 bila polisi kujua?? Je muuaji ni mwerevu kuliko vyombo vya usalama?

Alikua anawaua kisa nn

maana sehemu kubwa serial killer wanaua kutokana na trauma,sexual affairs ndo maana nyingi unakuta zinahusiana na sex
Alikuwa ni medical Dr, alikuwa anawapiga sindano za sumu na ana forge wosia kuwa wame mrithisha mali zao. Iliwachukua karibu miaka 10 kugunduliwa.
 
Back
Top Bottom