Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIAUongo tupu.
Hiyo ni Spinning Propaganda inayofanywa na Wafuasi wa Rais William Ruto na Utawala wake ili kuwazuga Raia hususani Vijana wa Gen Z ili kuwapunguzia hasira wasiweze kuuangusha Utawala wake ambao upo umekalia kuti kavu kwa sasa. Hao Polisi na Wapelelezi waliohusika ktk kufanya huo upelelezi uchwara ili kumsafisha Rutto na Utawala wake ili usiondolewe madarakani na vijana wenye hasira kutokana na ugumu wa maisha
naunga mkono!!Watu karibu mia tano waliuawa shakahola bila nchi kujua.
Kenya intelligence yao ipo chini sana
labdaSerikali inatafuta pakutokea....
🔨NAKAZIA
🔨Ukute tu wamemframe jamaa waloua ni police
🔨 swali!Kama ndio hivo mbona karibia watu tisa walitupwa karibu na kituo cha police
🔨Hatari sana
mkuu nieleweshe mi nimeona kama igizo vile!!Yes ndio hii,sasa huu ni muendelezo,kuna part one mpaka Tatu,hii ya kukamatwa kwa Daktari live akimtoa mdada pagaleni ni ya jana
🔨Luis Garavito kamgoogle huyu
Sio maigizo ni true,lakini chanzo cha kujulikana ni huyo mwenye hiyo Youtube Channel Senior Dave ndie aliyevumbua baada ya kuwakuta jamaa na demu wake na kuwafanyia challenge Loyalty Test,kisha akawashirikisha Polisi ndio ukamataji wa watuhumiwa wengine ukaendeleamkuu nieleweshe mi nimeona kama igizo vile!!
Maana police hawawezi kumshika mtu kama wanaigiza!!
Labda hujaelewa nilichoongelea Mkuu.Ndio kazi ya usalama mkuu!!
Kuwa tofauti na watu wakawaida
Kuwa na mbinu tofauti
Kumbuka hawa wamekaa darasan kusomea yote hayo unayoongea
Kwaiyo usilimganishe mm na chombo cha upelelezi
Wee jamaa una maneno ya shombo sana. Kwani ukiongea au kujibu kistaarabu kunapunguza uzito wa hoja!?Nyie wapumbavu na nyumbu wa Chadema ndio Huwa mnadhani Kenya Kuna la maana kumbe Kila kitu hovyo
Nadhan ni maleziWee jamaa una maneno ya shombo sana. Kwani ukiongea au kujibu kistaarabu kunapunguza uzito wa hoja!?
Badilika.