makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ni lazima uwe pungufu kichwani kuweza kutekeleza uharamu wa namna hii.Huyo ni psychopath killer hawanaga kujishuku hawa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lazima uwe pungufu kichwani kuweza kutekeleza uharamu wa namna hii.Huyo ni psychopath killer hawanaga kujishuku hawa watu
Ni lazima uwe pungufu kichwani kuweza kutekeleza uharamu wa namna hii.
Je, unaelewa maana ya Spinning Propaganda na namna Operesheni yake inavyofanyika????Kwaiyo hao wanawake wote nani kaua?? au taarifa imetiwa chumvi
sifahamu mkuu in detailsJe, unaelewa maana ya Spinning Propaganda na namna Operesheni yake inavyofanyika????
Waulize Chadema wanasemaga kenya Kuna Katiba Mpya ni muarobaini wa Kila kituSakata linaanza na Mwili mmoja wa mwanafunzi aliyekua anasoma Jomo kenyata university of Agriculture and technology (JKUAT) unagunduliwa kwene ambapo eneo la dampo mjini Nairobi.Baada ya kutolewa unagundulika ni wa kijana anaitwa…densel Omondi… raia wanadhan kua aliuawa na vyombo vya usalama kutokana na maandamano ya kupinga Financial bill
Lakini baadae miili mingine 8 inakuja kugunduliwa na yote ni ya wanawake. Pia nayo raia wanaihusianisha na maandamano na wananchi wanafura hasira wakitupia serikali polisi kua ndio inahusika lakini safari hii serikali inataka kujinasua kudhibitisha haihusiki na miili hii, hivo wanatakiwa wafanye haraka kabla hasira za Gen Z hazijapamba moto
Upelelezi wanaingia kazini lakini wanachokipata si kile walichokitegemea.
Wanakuja kugundua wanawake wote hawa walikua wanauliwa na kijana anaitwa COLLINS JUMAIS! KHALUSHA. Alipohojiws alikiri alianza kuwaua baada ya kumuua mke wake kwanza.
Yote haya alitekeleza ndani ya miaka miwili na kukamilisha watu 42.
Swali ni je
Huyu muuaji aliweza vipi kuua watu wote hawa bila kujulikana??
Muuaji anaakili gan ya ziada kuwashinda usalama?
……….
Kama anaweza isingekua haya maandamano basi muuaji angeweza kufikisha idadi kubwa zaidi??
Ni wauaji wangap wa aina hii wanaoua na bado hawashikwi?
Aisee hii habari imebadili kabisa maadaSI kweli,huyo wanamuonea tu,Kenya inaongoza kwa biashara ya viungo vya binadamu(Figo na Ovaries),na target kubwa ni wanafunzi wa kike wa Vyuo Vikuu maana wanapenda sana starehe,jana kuna Daktari kakamatwa live kwenye pagale akimtoa Binti Ovaries na ulikuwa mtego maana alitajwa na wenzake waliokamatwa wiki iliyopita,tena Mhusika Mkuu ni Principal wa Chuo mmama na Lectural mmoja anaitwa Dr Macharia,kwa mwenye Bando ingia you tube tafuta Senior Dave loyalty test channel,utaona hilo tukio kuanzia mwanzo Hadi mwisho,na hiyo Principal wa Chuo na Lectural wake wakamtakia live huyo Askari kwamba wampe Rushwa Kenya Tsh.ml 40 akakataa,ni tukio lipo recorded live maana chanzo Cha hayo kujulikana ni mwenye hiyo channel kuwafanyia jamaa mmoja na mpenzi wake loyalty test,Binti akagundua jamaa yake anamsaliti kwa kutembea na WA awake wengine wakati yeye anamfichia Siri biashara ya kuua wadada na kuwatupa kwenye mto,na wakati huohuo akawaambia hata sasa hivi kule kwenye Buti kuna mwili wa mwanafunzi wameuleta hapo mtoni kuutupa,ndio chanzo cha yote hayo kujulikana na kuanza kukamatwa mmoja baada ya mwingine
Katiba hata ingekuaje shida ni watuWaulize Chadema wanasemaga kenya Kuna Katiba Mpya ni muarobaini wa Kila kitu
So taarifa inaweza isiwe hivi inavyoonekanaWameamua wamtoe mbuzi moja wa kafara kumnusuru Ruto .
NdioSo taarifa inaweza isiwe hivi inavyoonekana
Nyie wapumbavu na nyumbu wa Chadema ndio Huwa mnadhani Kenya Kuna la maana kumbe Kila kitu hovyoLicha ya bongo kuwa na serikal ya hovyo ila haya mambo kwetu ni ngumu sana ,police wetu wangekudaka tu zamaan
Mi siku hiz sipendi kabisa ugomvi na kujibizana vibaya jukwaani mkuu usichokoze naomba. Sitaki hiz habar kwasasa. Nikosoe tu kistaarabu nitaelewaNyie wapumbavu na nyumbu wa Chadema ndio Huwa mnadhani Kenya Kuna la maana kumbe Kila kitu hovyo
SI kweli,huyo wanamuonea tu,Kenya inaongoza kwa biashara ya viungo vya binadamu(Figo na Ovaries),na target kubwa ni wanafunzi wa kike wa Vyuo Vikuu maana wanapenda sana starehe,jana kuna Daktari kakamatwa live kwenye pagale akimtoa Binti Ovaries na ulikuwa mtego maana alitajwa na wenzake waliokamatwa wiki iliyopita,tena Mhusika Mkuu ni Principal wa Chuo mmama na Lectural mmoja anaitwa Dr Macharia,kwa mwenye Bando ingia you tube tafuta Senior Dave loyalty test channel,utaona hilo tukio kuanzia mwanzo Hadi mwisho,na hiyo Principal wa Chuo na Lectural wake wakamtakia live huyo Askari kwamba wampe Rushwa Kenya Tsh.ml 40 akakataa,ni tukio lipo recorded live maana chanzo Cha hayo kujulikana ni mwenye hiyo channel kuwafanyia jamaa mmoja na mpenzi wake loyalty test,Binti akagundua jamaa yake anamsaliti kwa kutembea na WA awake wengine wakati yeye anamfichia Siri biashara ya kuua wadada na kuwatupa kwenye mto,na wakati huohuo akawaambia hata sasa hivi kule kwenye Buti kuna mwili wa mwanafunzi wameuleta hapo mtoni kuutupa,ndio chanzo cha yote hayo kujulikana na kuanza kukamatwa mmoja baada ya mwingine
Kesi za wanawake arubai kutoweka ??Huyu jamaa ni mtu muhimu sana kwa sasa maana ni somo kwenye taaluma zaidi ya tatu na kwakuwa sio matukio yakuzoeleka huku kwetu basi atunzwe vizuri wataaluma wajifunze saikolojia na namna ya kuwabaini waalifu wa mtindo wake kupitia yeye.
Turudi kwenye mada,
Ni rahisi sana kiasi hicho cha raia kupotea na wala jamii isishtuke hasa kwa maeneo ya mijini ambapo unakuta mtu hana watu wa karibu sana zaidi ya marafiki ambao wanaweza kuhisi labda umesafiri au upo kwenye mipambano ya maisha
maisha si vita etiMi siku hiz sipendi kabisa ugomvi na kujibizana vibaya jukwaani mkuu usichokoze naomba. Sitaki hiz habar kwasasa. Nikosoe tu kistaarabu nitaelewa
duuhNyie wapumbavu na nyumbu wa Chadema ndio Huwa mnadhani Kenya Kuna la maana kumbe Kila kitu hovyo