Mr Chromium JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,761 Reaction score 3,835 Jul 17, 2024 Thread starter #101 babukijana said: Hata maigizo hawajui mpangilio. Katikati ya wahalifu kuna askari kakaa kizembe tu anasinzia, What the heck investigation is that Click to expand... Mi nimeshindwa kuendelea kuifuatilia kwasababu hiyo
babukijana said: Hata maigizo hawajui mpangilio. Katikati ya wahalifu kuna askari kakaa kizembe tu anasinzia, What the heck investigation is that Click to expand... Mi nimeshindwa kuendelea kuifuatilia kwasababu hiyo
Mr Chromium JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,761 Reaction score 3,835 Jul 17, 2024 Thread starter #102 Vishu Mtata said: Inaweza kua kweli ila imekuja kipindi kibaya, ukweli ni ngumu kuaminika na uongo ni rahisi kuuchomekea humohumo. Click to expand... mi nahisi jamaa inawezekana kaua labda wawili au watatu au idadi kadhaa! Lakini idadi nyingine amechomekewa
Vishu Mtata said: Inaweza kua kweli ila imekuja kipindi kibaya, ukweli ni ngumu kuaminika na uongo ni rahisi kuuchomekea humohumo. Click to expand... mi nahisi jamaa inawezekana kaua labda wawili au watatu au idadi kadhaa! Lakini idadi nyingine amechomekewa
R Rwebo JF-Expert Member Joined Oct 17, 2015 Posts 1,418 Reaction score 1,820 Jul 17, 2024 #103 Mr Chromium said: Alikua anawaua kisa nn maana sehemu kubwa serial killer wanaua kutokana na trauma,sexual affairs ndo maana nyingi unakuta zinahusiana na sex Click to expand... Alikuwa ni medical Dr, alikuwa anawapiga sindano za sumu na ana forge wosia kuwa wame mrithisha mali zao. Iliwachukua karibu miaka 10 kugunduliwa.
Mr Chromium said: Alikua anawaua kisa nn maana sehemu kubwa serial killer wanaua kutokana na trauma,sexual affairs ndo maana nyingi unakuta zinahusiana na sex Click to expand... Alikuwa ni medical Dr, alikuwa anawapiga sindano za sumu na ana forge wosia kuwa wame mrithisha mali zao. Iliwachukua karibu miaka 10 kugunduliwa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 17, 2024 #104 Propaganda... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jul 17, 2024 #105 Smart911 said: Propaganda... Cc: Mahondaw Click to expand... Sure lo propaganda kama propaganda nyingine tu
Smart911 said: Propaganda... Cc: Mahondaw Click to expand... Sure lo propaganda kama propaganda nyingine tu
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Jul 17, 2024 #106 Mr Chromium said: mi nahisi jamaa inawezekana kaua labda wawili au watatu au idadi kadhaa! Lakini idadi nyingine amechomekewa Click to expand... Ndo ivo mkuu, zigo la nnya limemuangikia kijana
Mr Chromium said: mi nahisi jamaa inawezekana kaua labda wawili au watatu au idadi kadhaa! Lakini idadi nyingine amechomekewa Click to expand... Ndo ivo mkuu, zigo la nnya limemuangikia kijana