Kenya imetoa ruhusa ya wapenzi wa jinsia moja kujumuika

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
BBC Swahili wanalipoti kuwa mahakama ya juu nchini Kenya imeanza vyema kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuwa na haki ya kujumuika, hii ni ishara sasa kenya inaelekea kule walipo waliokaaga mwanzo kisha wakakubaliana na hali.

Hili ni tukio baya sana kwa ukanda wetu ambapo ile nguvu moja ya kiafrika ya kukutaa ushoga, usagaji na ndoa za jinsia moja hapa mwenzetu ametusaliti katika mapambano.

Naiomba Serikali ya Tanzania usikubali kuingia mkenge kwenye hili ikaze uzi, izidi kukaza uzi labda sisi na waganda bado tutatoboa maana ndio wanaume halisi tuliobaki



USSR
 
Namshukuru MUNGU kuniumba muislam
Mkuu haya mambo hayana cha kusema wewe ni Muislam. Hata huko yapo. Kikubwa ni kujilinda na haya mambo na kuomba Mungu akuepushe wewe, familia yako na ulimwengu kwenye haya mabalaa

 
Angalia hivyo vitisho kwanza ...Na huyo sio muislamu automatically kashatoka kweny uislamu ...Hatutaki ujinga
 
Mnao support homosexuality , Where do we draw the line?

Mnasema homosexuality is not a mental illness because to quote

"homosexuality per se implies no impairment in judgment, reliability or general social and vocational capabilities."

Na mnasema it's natural, because we've observed homosexuality in animals like lions.

So what about people sexually attracted to children?

What about sleeping with animals?

What about incest? Mzazi na mtoto, kaka na dada? We see animals do it!

Hapo kwenye pedophiles mnaweza kusema it's not right coz mtoto anakuwa hajakua vizuri kiakili hajajitambua,

lakini ni nyie ndo mnasema watoto wanajijua wenyewe kama ni wavulana au wasichana na kuna movements za ku push wazazi waache watoto waamue wenyewe ni jinsia gani,

yaani umezaa mtoto wako wa kiume ana 6yrs aje akwambie mimi I'm not a boy I am a girl, na wewe mzazi unapswa kum support hata kwenda kubadilisha jinsia akitaka.

Nimekuta mahali paedophiles wanataka kutambulika na wao eti mradi mtoto akubali mwenyewe asilazimishwe basi iwe halali!

So what if mtoto wa 12yrs awe na mahusiano na mtu ana 20, 30, 40yrs! Kuna tatizo kwenu? If yes why?

Where do you draw the line on whats acceptable and what's not?
What's right and what's not?
What's natural and what's not?

What would be the ideal world for you?

Where anyone just fu¢¢s anything they meet? Doesn't matter the sex, age, relationship, species?

Nauliza with genuine concern I'll appreciate anyone who answers!
 
Kama mnavyoona jirani yetu na mwanachama mwenzetu wa Afrika Mashariki ameungana na mabeberu wa magharibi kuhalalisha ushoga na usagaji.

Wakenya badala wawe bize kupambana na ukame unaowasumbua wameamua rasmi kugeuzana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake.

MK254 endeleeni na upumbavu wenu alafu njaa ikiwazidi mkimbilie Tanzania kama ilivyo jadi yenu!
 

Haya mambo ya ushoga huwa naona mnapenda sana kuyafatilia na kutaja taja, mko too obsessed, halafu wengi mnayafanya sana ukanda huo wa kuanzia Tanga, Dar hadi Pemba, huko ambapo dini yenu imetamalaki.
 

Haya mambo ya ushoga huwa naona mnapenda sana kuyafatilia na kutaja taja, mko too obsessed, halafu wengi mnayafanya sana ukanda huo wa kuanzia Tanga, Dar hadi Pemba, huko ambapo dini yenu imetamalaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…