Kenya imetoa ruhusa ya wapenzi wa jinsia moja kujumuika

Kenya imetoa ruhusa ya wapenzi wa jinsia moja kujumuika

BBC Swahili wanalipoti kuwa mahakama ya juu nchi kenya imeanza vyema kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuwa na haki ya kujumuika hii ni ishara sasa kenya inaelekea kule walipo waliokaaga mwanzo kisha wakakubaliana na hali .

Hili ni tukio baya sana kwa ukanda wetu ambapo ile nguvu moja ya kiafrika ya kukutaa ushoga,usagaji na ndoa za jinsia moja hapa mwenzetu ametusaliti katika mapambano.

Naiomba serikali ya Tanzania usikubali kuingia mkenge kwenye hili ikaze uzi ,izidi kukaza uzi labda sisi na waganda bado tutatoboa maana ndio wanaume halisi tuliobaki



USSR
CC: MK254
 
Mwenye majibu ya kitaalam anieleweshe kwanini mambo ya ajab ajab hupatikana zaid Kenya?
1. Yesu kapatikana Kenya
2. Mungu wa Nyonyi,Kenya
3. Kuzini na wanyama,Kenya
4. Wanawake/wake wakorofi, Kenya
5. Kesi ya kuwashitak waliomuua Yesu, Kenya.
6. Sura bandia za kucheka, Kenya
7. etc
 
Haya mambo ya ushoga huwa naona mnapenda sana kuyafatilia na kutaja taja, mko too obsessed, halafu wengi mnayafanya sana ukanda huo wa kuanzia Tanga, Dar hadi Pemba, huko ambapo dini yenu imetamalaki.
Lazima utaje hiyo kanda wakati nyie nchi nzima mnafanya na waasisi wa ukristo wenu ndo wanasapot ...kenge kabisa usirudie kuchafua maeneo ya watu ...kama unao ushahidi taja hao wamashogo wanaotokea izo sehemu au ulioona wapi vitendo ivyo vikawa vinaruhusiwa kanda iyo?
 
Haya mambo ya ushoga huwa naona mnapenda sana kuyafatilia na kutaja taja, mko too obsessed, halafu wengi mnayafanya sana ukanda huo wa kuanzia Tanga, Dar hadi Pemba, huko ambapo dini yenu imetamalaki.
Wakati uko bussy na Russia huku kwenu wadogo zako wa kiume wanaolewa hata wew utakuja kuolewa...kumbuka yule mwanahatakati aliyekufa juzi anatokea kanda ya pwani sio ?

Unatunza chuki moyoni mpaka unakosa nuru usoni kwa kupauka unasingia kanda fulani kuna ushoga kama ulishawahi kufika ...sisi tunakupa facts kwenu ushoga umetamaki mno na wanaharakati kutetea wapo ..
 
Alafu raia wa Kenya walivyo hawana akili watalifurahia hili
Kwani lina shida gani? Kibaya ni ku- impose something on somebody against her or his will! Morally is wrong, but legally is right! Tofautisha kati ya moral obligation na legal obligation!
Tatizo letu waafrika ni kadamnasi, lkn haya mambo yanafanyika tena sana huko kwenye pembe nne za vyumba vyetu! Shida ni kuwa sasa inaanza kuwa public!

(sorry for this, it is very nasty and quite immoral: kuna rafiki yangu mmoja aliniambia kuwa wazee wa kimila/wakuu wa jamii hiyo ya pwani, alioa pwani wakamwambia hata kule kwingine unaonja .......)

Niwekee hukumu hiyo kama unayo. ...KLII sijui kama ipo
 
Back
Top Bottom