Kenya imetoa ruhusa ya wapenzi wa jinsia moja kujumuika

Inasemekana hata zamani hizo wakenya ndio walisababisha wazungu watuone ni nyani kutokana na ufinyu wao mdogo wa kufikiri na kufanya mambo ya ajabuajabu ya kihayawani.

Tukianza na hapa jf mtazame MK254 utagundua hayuko sawa kiakili
 
Haya mambo ya ushoga huwa naona mnapenda sana kuyafatilia na kutaja taja, mko too obsessed, halafu wengi mnayafanya sana ukanda huo wa kuanzia Tanga, Dar hadi Pemba, huko ambapo dini yenu imetamalaki.
Hiyo mikoa umetaja,haikai waislamu watupu,wapo wa dini nyingine na wasiokuwa na dini.
 
BBC Swahili wanalipoti kuwa mahakama ya juu nchi kenya imeanza vyema kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuwa na haki ya kujumuika hii ni ishara sasa kenya inaelekea kule walipo waliokaaga mwanzo kisha wakakubaliana na hali .

Hili ni tukio baya sana kwa ukanda wetu ambapo ile nguvu moja ya kiafrika ya kukutaa ushoga,usagaji na ndoa za jinsia moja hapa mwenzetu ametusaliti katika mapambano.

Naiomba serikali ya Tanzania usikubali kuingia mkenge kwenye hili ikaze uzi ,izidi kukaza uzi labda sisi na waganda bado tutatoboa maana ndio wanaume halisi tuliobaki

USSR
Ah lilikuwa suala la muda tuu. Ukiwa huna hela dunia hii utafanya jinsi shetani anataka tuu
 
BBC Swahili wanalipoti kuwa mahakama ya juu nchi kenya imeanza vyema kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuwa na haki ya kujumuika hii ni ishara sasa kenya inaelekea kule walipo waliokaaga mwanzo kisha wakakubaliana na hali .

Hili ni tukio baya sana kwa ukanda wetu ambapo ile nguvu moja ya kiafrika ya kukutaa ushoga,usagaji na ndoa za jinsia moja hapa mwenzetu ametusaliti katika mapambano.

Naiomba serikali ya Tanzania usikubali kuingia mkenge kwenye hili ikaze uzi ,izidi kukaza uzi labda sisi na waganda bado tutatoboa maana ndio wanaume halisi tuliobaki

USSR
Duh! Si mchezo. Sikuamini.
 
Back
Top Bottom