USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
BBC Swahili wanalipoti kuwa mahakama ya juu nchini Kenya imeanza vyema kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuwa na haki ya kujumuika, hii ni ishara sasa kenya inaelekea kule walipo waliokaaga mwanzo kisha wakakubaliana na hali.
Hili ni tukio baya sana kwa ukanda wetu ambapo ile nguvu moja ya kiafrika ya kukutaa ushoga, usagaji na ndoa za jinsia moja hapa mwenzetu ametusaliti katika mapambano.
Naiomba Serikali ya Tanzania usikubali kuingia mkenge kwenye hili ikaze uzi, izidi kukaza uzi labda sisi na waganda bado tutatoboa maana ndio wanaume halisi tuliobaki