Sisi ni kuwasha mwenge kulikotutoa akili au kitu gani? Mbona hatuna focus na chochote?
Kenya hawana lolote, wanategemea parachichi za Tanzania. Tuache uvivu wa kutafuta masoko, tukiacha kuuza parachichi zetu Kenya exports za Kenya zitashuka..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango.
..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.
Mchape kibao!!😁Sasa kwa nini unajitungia tu?
Kana ka ukweli fulani, nimesikia Wakenya wanakwenda Njombe na Tukuyu, wakipeleka kwao wanapakia kama ya kutoka KenyaHao wananunua tz wanasema wanalima wao. Siku tukifunga mipaka watalia njaa
NIMEKUSOMA WE NI MWELEWA SANA UNAJIBU KWA HOJA VZR SANA ILA TUSILINGANISHE MAMBO KWA URAIS SABABU KILA AWAMU INA MAMBO MAZURI IMEYATENDA CHA MSINGI NI KUCHANGIA KWA KUTOA MAWAZO NINI KIFANYIKE NA JINSI YA KUKIANZA ICHO UNACHOWAZA ,UBARIKIWE SANA..hayo unayosema yamefanyika ni mambo mazuri na tunayaunga mkono.
..swali ni kwamba; ikiwa madaraja, barabara, hospitali, vyuo, nk, vinajengwa kila mahali, kwanini Watanzania bado tumekwama?
..Tanu/ Ccm imekuwa madarakani toka tupate uhuru hivyo inastahili lawama kwa mkwamo huu.
KWELI UMEJIBU VZR NAKUSHAURI UTOKE KWENYE NAFASI YA UTAZAMAJI UFANYE IYO KAZI WW ILI KUONDOA MALALAMIKO PIA KWA KUFANYA IVO NAJUA UTAZALISHA AJIRA KWA WATANZANIA WENZETU NA KUKUZA KIPATO CHAOKumbuka Parachichi nyingi wanachukua Iringa na Mbeya wakifika kwao wanaziosha vizuri na kufanya packing wanaita za kwao wanakwenda masoko ya kimataifa... sisi tunaendelea kuwa watazamaji
Heri ya mwaka mpya mwambana ndio role models wa madogo wengi, siku moja napita mitaa ya kinondoni nimepishana na mijamaa miili mikubwa ila stori zao sasa, mara diamond hivi mara vile nikasema duuh kazi ipo!
HahahaBinuka nikubamize.
NADHANI CHA MSINGI NI KUJIULIZA WAO WANAWEZAJE KUFANYA IVO CC TUNAKWAMA WAPI KAMA MTU MMOJA MMOJA ALAF KUTOKEA HAPO TUCHUKUE HATUA TUSIWE WATU WAKULALAMIKA NDUGU ZANGUEeenHeeee!
Hivi unajua ulichoandika hapo?
"Wakigoma"? kwani walipoweka ngumu kuhusu mahindi yetu kuwa na 'aflatoxin' hawakuwa wamegoma? Na hiyo ilikuwa siyo mara ya kwanza, au haya mambo wewe huyajui!
Soko hawana wao pekee yao kiasi kwamba wakigoma hatuwezi kuuza bidhaa zetu kwingineko, kama wao wanavyoweza kwenda kwingine, wakitaka.
salama kaka mkubwa, kwako pia, ndio hali halisi mkuu!Heri ya mwaka mpya mwamba
Hahaha cmnt yk nmecheka sana
Kweli bongo sisi tunaongoza kwa kuwatoa wakata mauno tu sahv
Ova
Hueleweki unachochangia hapa!NADHANI CHA MSINGI NI KUJIULIZA WAO WANAWEZAJE KUFANYA IVO CC TUNAKWAMA WAPI KAMA MTU MMOJA MMOJA ALAF KUTOKEA HAPO TUCHUKUE HATUA TUSIWE WATU WAKULALAMIKA NDUGU ZANGU