Hao wananunua tz wanasema wanalima wao. Siku tukifunga mipaka watalia njaa
Ndio uwongo mnaojiaminisha, kwa taarifa yako elimu ya parachichi ndio imekua dili siku hizi Kenya, binafsi nataka kugeuza shamba langu kijijini lizalishe maparachichi ila kwa kuzingatia kiwango.
tatizo mnapenda kila kitu kinacholetwa na wenzetu kutoka nje embu niambie kwann ilsitisha kwa muda huo na nini malengo hasa ..go and read more about the GMO(Genetic modifying Organism)!!!..kwanini unasema tuna-support gmo?
..gmo ilikuwa imezuiliwa kenya kwa zaidi ya miaka 10.
..ni majuzi tu baraza la mawaziri ndio limeruhusu nafaka za gmo kuingizwa kenya.
..sisi hapa tunazungumzia matunda, specifically, avocado, sielewi kwanini umeleta hoja ya gmo.
Umenena ukweli mkuuMIMI SI MPENZI WA GMO HATA KIDOGO, LAKINI UKWELI USEMWE. KENYA KWENYE AVOS WAKO MBALI MNO. HATA KAMA WANAPIGA GMO, UKWELI NI KWAMBA WAMETUTANGULIA PAREFU.
tatizo mnapenda kila kitu kinacholetwa na wenzetu kutoka nje embu niambie kwann ilsitisha kwa muda huo na nini malengo hasa ..go and read more about the GMO(Genetic modifying Organism)!!!
HATA PALE NJOMBE IMEFIKIA HATUA WATU WANANG`OA PINES NA KUOTESHA AVOS. SOON AVOS LITAKUWA ZAO KUU LA BIASHARA KUSINI NYANDA ZA JUU...nadhani wakenya wamewehuka / gone crazy na kilimo cha parachichi.
..kuna mkulima wa kenya nimemsikia anasema ameng'oa miembe na kupanda parachichi!!
Swadakta mkuu hapo umesema ukweli..hapana.
..sisi hatu-support gmo hata kidogo.
..narudia...hatu-support gmo.
..na wakulima wa avocado niliowaonyesha hawazalishi avocado za gmo.
..hata kenya kuna watu wanapinga gmo, na wamefungua kesi, na mahakama imepiga stop gmo kuingizwa kenya.
Swadakta mkuu hapo umesema ukweli
Anachosema jamaa ndio uhalisia wa TANZANIAcha uzushi, toa mfano hilo shamba lililonyang'anywa baada ya jamaa kuamka asubuhi.
KWA MASHAMBA YEPI MKUU? SIBISHI SUALA LA PACKAGING KUFANYIKA KENYA, ILA KIASI KIDOGO. PARACHICHI LINALOTAMBA KWENYE SOKO LA DAR LILE KUBWA LINATOKA BURUNDI.ukweli ni kuwa wanaongoza kwa kusafirisha AVOCADO kwenda NJE
ila AVOCAD nyingi inatoka TANZANIA inaingizwa KENYA
inafanyiwa PACKAGING ina pigwa muhuri MADE IN KENYA hiyooo inafly
nakushukuru pia kuhusu ardhi naamini hilo so tufungue ubongo ili tuweze kuitumia vyema rasilimali zetu vizuri yote haya ni kwa umoja na mshikamano sote pamoja wapenda maendeleo..nakushukuru kwa kuendesha mjadala kwa uvumilivu na ustaarabu mkubwa.
..tuunganishe bongo na juhudi zetu ili tuongeze tija ktk kilimo cha Tanzania.
..tuinge mambo na maarifa mazuri toka kwa majirani zetu. Tanzania tuna ardhi kubwa na nzuri.
Nilikuwa na mchepuko JIMAMA alikuwa na ODA kenya ya passionKWA MASHAMBA YEPI MKUU? SIBISHI SUALA LA PACKAGING KUFANYIKA KENYA, ILA KIASI KIDOGO. PARACHICHI LINALOTAMBA KWENYE SOKO LA DAR LILE KUBWA LINATOKA BURUNDI.
ARDHI YETU NI KUBWA, ILA KWA KILIMO CHA MVUA HATUTOBOI, TUISHIRIKISHE SEKTA BINAFSI KWENYE UVUNAJI MAJI HASA YA MVUA ILI TUKUZE UMWAGILIAJI, VINGINEVYO TUTAENDELEA KUPIGA STORY.nakushukuru pia kuhusu ardhi naamini hilo so tufungue ubongo ili tuweze kuitumia vyema rasilimali zetu vizuri yote haya ni kwa umoja na mshikamano sote pamoja wapenda maendeleo
Bila kuweka ushahidi huu utabaki kuwa ni upuuzi mtupu.Anachosema jamaa ndio uhalisia wa TANZANI
Unalala unamka ASUBUHI unakuta NOTICE
hili ni ENEO LA MWEKEZAJI hameni hapa
Bila LUKUVI kuja na sera zake Imara
Wale wahuni wanaojiita WAVAMIZI wangetajirka sana
Tunatoboa VIZURIARDHI YETU NI KUBWA, ILA KWA KILIMO CHA MVUA HATUTOBOI, TUISHIRIKISHE SEKTA BINAFSI KWENYE UVUNAJI MAJI HASA YA MVUA ILI TUKUZE UMWAGILIAJI, VINGINEVYO TUTAENDELEA KUPIGA STORY.
Truth tutafanikisha hilo kwa kushikana mikonoARDHI YETU NI KUBWA, ILA KWA KILIMO CHA MVUA HATUTOBOI, TUISHIRIKISHE SEKTA BINAFSI KWENYE UVUNAJI MAJI HASA YA MVUA ILI TUKUZE UMWAGILIAJI, VINGINEVYO TUTAENDELEA KUPIGA STORY.
Sumaye ndiye mhanga wa kunyang'anywa mashamba. Jiwe na yule waziri wake wa ardhi adhabu yao ni moto wa mileleAcha uzushi, toa mfano hilo shamba lililonyang'anywa baada ya jamaa kuamka asubuhi.
Hata nikiweka ushaidi inasaidia niniBila kuweka ushahidi huu utabaki kuwa ni upuuzi mtupu.
SERIKALI IWAPE RUZUKU WANAOWEZA KUJENGA MALAMBO MAKUBWA NA MABWAWA SBB WAKISHAJENGA YANAKUWA VYANZO MUHIMU VYA MAJI KWA JAMII PANA.Truth tutafanikisha hilo kwa kushikana mikono