MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hao wananunua tz wanasema wanalima wao. Siku tukifunga mipaka watalia njaa
Ndio uwongo mnaojiaminisha, kwa taarifa yako elimu ya parachichi ndio imekua dili siku hizi Kenya, binafsi nataka kugeuza shamba langu kijijini lizalishe maparachichi ila kwa kuzingatia kiwango.