Kenya inaongoza uzalishaji Avocado Afrika. Tusipokuwa makini chini ya CCM kuna siku Kenya itailisha Tanzania

Kenya inaongoza uzalishaji Avocado Afrika. Tusipokuwa makini chini ya CCM kuna siku Kenya itailisha Tanzania

Ndio uwongo mnaojiaminisha, kwa taarifa yako elimu ya parachichi ndio imekua dili siku hizi Kenya, binafsi nataka kugeuza shamba langu kijijini lizalishe maparachichi ila kwa kuzingatia kiwango.

..nadhani wakenya wamewehuka / gone crazy na kilimo cha parachichi.

..kuna mkulima wa kenya nimemsikia anasema ameng'oa miembe na kupanda parachichi!!
 
..kwanini unasema tuna-support gmo?

..gmo ilikuwa imezuiliwa kenya kwa zaidi ya miaka 10.

..ni majuzi tu baraza la mawaziri ndio limeruhusu nafaka za gmo kuingizwa kenya.

..sisi hapa tunazungumzia matunda, specifically, avocado, sielewi kwanini umeleta hoja ya gmo.
tatizo mnapenda kila kitu kinacholetwa na wenzetu kutoka nje embu niambie kwann ilsitisha kwa muda huo na nini malengo hasa ..go and read more about the GMO(Genetic modifying Organism)!!!
 
tatizo mnapenda kila kitu kinacholetwa na wenzetu kutoka nje embu niambie kwann ilsitisha kwa muda huo na nini malengo hasa ..go and read more about the GMO(Genetic modifying Organism)!!!

..hapana.

..sisi hatu-support gmo hata kidogo.

..narudia...hatu-support gmo.

..na wakulima wa avocado niliowaonyesha hawazalishi avocado za gmo.

..hata kenya kuna watu wanapinga gmo, na wamefungua kesi, na mahakama imepiga stop gmo kuingizwa kenya.
 
ukweli ni kuwa wanaongoza kwa kusafirisha AVOCADO kwenda NJE
ila AVOCAD nyingi inatoka TANZANIA inaingizwa KENYA
inafanyiwa PACKAGING ina pigwa muhuri MADE IN KENYA hiyooo inafly
 
ukweli ni kuwa wanaongoza kwa kusafirisha AVOCADO kwenda NJE
ila AVOCAD nyingi inatoka TANZANIA inaingizwa KENYA
inafanyiwa PACKAGING ina pigwa muhuri MADE IN KENYA hiyooo inafly
KWA MASHAMBA YEPI MKUU? SIBISHI SUALA LA PACKAGING KUFANYIKA KENYA, ILA KIASI KIDOGO. PARACHICHI LINALOTAMBA KWENYE SOKO LA DAR LILE KUBWA LINATOKA BURUNDI.
 
..nakushukuru kwa kuendesha mjadala kwa uvumilivu na ustaarabu mkubwa.

..tuunganishe bongo na juhudi zetu ili tuongeze tija ktk kilimo cha Tanzania.

..tuinge mambo na maarifa mazuri toka kwa majirani zetu. Tanzania tuna ardhi kubwa na nzuri.
nakushukuru pia kuhusu ardhi naamini hilo so tufungue ubongo ili tuweze kuitumia vyema rasilimali zetu vizuri yote haya ni kwa umoja na mshikamano sote pamoja wapenda maendeleo
 
KWA MASHAMBA YEPI MKUU? SIBISHI SUALA LA PACKAGING KUFANYIKA KENYA, ILA KIASI KIDOGO. PARACHICHI LINALOTAMBA KWENYE SOKO LA DAR LILE KUBWA LINATOKA BURUNDI.
Nilikuwa na mchepuko JIMAMA alikuwa na ODA kenya ya passion
Kipindi magufuri amefunga mpk
Aisee kile kiwanda cha JUISI kilipata tabu sana tena sana
 
nakushukuru pia kuhusu ardhi naamini hilo so tufungue ubongo ili tuweze kuitumia vyema rasilimali zetu vizuri yote haya ni kwa umoja na mshikamano sote pamoja wapenda maendeleo
ARDHI YETU NI KUBWA, ILA KWA KILIMO CHA MVUA HATUTOBOI, TUISHIRIKISHE SEKTA BINAFSI KWENYE UVUNAJI MAJI HASA YA MVUA ILI TUKUZE UMWAGILIAJI, VINGINEVYO TUTAENDELEA KUPIGA STORY.
 
ARDHI YETU NI KUBWA, ILA KWA KILIMO CHA MVUA HATUTOBOI, TUISHIRIKISHE SEKTA BINAFSI KWENYE UVUNAJI MAJI HASA YA MVUA ILI TUKUZE UMWAGILIAJI, VINGINEVYO TUTAENDELEA KUPIGA STORY.
Tunatoboa VIZURI
Unajua shida nini inayitucost

Kumix mbegu asilia na za kisasa
Mbegu za kisasa zinazimaliza Mbegu ASILIA
Na ELIMU ya mbegu ya kisasa wengi hatuna
Na hata walokuwa nayo wakilima wanashindwa kufata mashart yake

Na ARDHI yenye rutuba haswa ya kulima kilimo chochote inakaliwa na wavivu balaa
 
Back
Top Bottom