KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Bahati mbaya sijaandika unachotaka ndo maana unatoa povu kama kawaida!
Wala sijatoa povu lakini kama huwezi kutofautisha kufuta uchaguzi kwa Jecha na kilichotokea Kenya then sina uwezo zaidi.All in all wale ni Kenya na sie ni Tanzania.Wameuana mpka kufikia hapo sie tumeua kidogo tu.
 
Wakikaa vibaya watashikana mashati muda sio mrefu. Haswa jamaa akigoma kurudia
 
Katika watu wapumbavu na wajinga katika dunia .
 
Uhuru Kenyatta is a thief.

Once a thief always a thief.

Yote yaliyofanyika kwa kuua Chris Msando , na system failure all that was a planned incident.

Ulikuwa na yeye akiuua Msando. System failure uliiskia wapi?
Nakuelewa lakini. Nasa wamepata miezi ingine mbili ya kueneza propaganda na uongo.

Kumbuka, baada ya siku 60...

Voting - Manual
Counting - Manual
Filling Form 34A - Manual
Filling Form 34B - Manual
Tallying - Manual
Announcing - Manual

Wakati huu kwanza niko sure kwamba website portal ya kuonyesha real-time results itaondolewa kwa sababu ya ubishi mwingi.
Hio inamaanisha kwamba Raila atashindwa wakenya wakiwa 'gizani', na kwa mara ya tano maishani mwake, atasema ameibiwa.

Na nikitumia matamshi yako. Once a thief, always a thief.
Bahati mbaya kwa Raila hakuna Supreme Court tena baada ya kichapo cha pili.
 
Kuna Mtu alitoa shikamoo Kenya ........... kwa hili kweli wanastahili!!

Kwetu wakisikia tu unalalamika, wanakimbilia kutangaza final results ... Game Over!!
 
Uchaguzi ulipita bila vita ila naona wanaitafuta vita.....

Odinga hawezi kushinda uchaguzi....
 
Uamuzi uliotolewa na mahakama kuhusu matokeo ya uchaguzi, si ushindi kwa wanademokrasia wa kenya, ni ushindi kwa africa nzima dhidi ya mizengwe ktk chaguzi inayofanywa na tawala dhalimu za kiafrica.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…