Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,637
Hapo kweli hapo kupotezana nje nje.Wapewe ulinzi wa kutosha maana mmmmh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kweli hapo kupotezana nje nje.Wapewe ulinzi wa kutosha maana mmmmh!
Tutarudintu kortini mpaka atumie pesa yake ya mfuko sio vifaa vya serikali....hio ndio ilikuwa hoja mojawapo mahakamaniKila mtu kaambiwa atumie gharama zake na Uhuru lazima atumie gharama za serikali tu kwnz lazima awe na walinzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie akili kubwa wa kwenu unaruhusiwa kuhojiwa mahakamani..???Manyumbu yalisema uchaguzi wa Kenya ni free and fair na hakukuwa na wizi..
Aibu kwao manyumbuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sijatoa povu lakini kama huwezi kutofautisha kufuta uchaguzi kwa Jecha na kilichotokea Kenya then sina uwezo zaidi.All in all wale ni Kenya na sie ni Tanzania.Wameuana mpka kufikia hapo sie tumeua kidogo tu.Bahati mbaya sijaandika unachotaka ndo maana unatoa povu kama kawaida!
Katika watu wapumbavu na wajinga katika dunia .Habarini!
Kwanza kabisa napenda niwapongeze wakenya kwa hatua kubwa ambayo system yao ya democrasia upande wa kuchagua rais wamefikia!
Kitendo cha mahakama ya juu kutengua matokea ya urais ambayo yalisema Uhuru Kenyatta ndo mshindi kwa kigezo kuwa hayakuwa halali ni cha kupongezwa.
Kura za wakenya zilidukuliwa ktk computer.
Kitendo hili kimewahi tokea pia Tanzania ingawa huku kwetu matokeo yalitenguliwa na ZEC badala ya mahakama kwa sababu hizi hizi za udukuzi. Hivyo Jecha na team yake wanastahili pongezi nyingi sana kwa kutengua ule ushindi batili wa Seif ktk uchaguzi wa rais Zanzibar 2015.
Tanzania nasi tulikataa huu upuuzi wa kudukua matokeo ya uchaguzi kama majirani zetu walivyofanya! Demokrasia ni kuwaacha wananchi wake wachague viongozi wao wanaowataka wao sio kutumia komputer kwa njia za panya.
Heko to Tanzania na Kenya.
Na kukubali kushabikiwa na chadema.Kenyata alikisea sana kuungana na Lowassa
......
Uhuru Kenyatta is a thief.
Once a thief always a thief.
Yote yaliyofanyika kwa kuua Chris Msando , na system failure all that was a planned incident.
Hilo bunge tu gizani, kesi ndio sahau kabisa.Uzuri wanafanya kesi zao live bila chenga tofauti na mahakama za tz zinazofanyia kesi zao gizani kama wachawi...itatuchukua zaidi miaka 50 kufikia hatua ya wakenya