Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Kenya nzima IPO gizani, wenda Tanzania ikawa gizani siku 3
Ugaidi/hujuma/ mipangoNini chanzo?
Rostam azizi at workKENYA NZIMA IPO GIZANI,
Wenda Tanzania ikawa Gizani siku 3
We tulia utaona,sijawai kutoa taarifa fakeTanzania inahusikaje hapo
Upo vema.Sasa,hilo neno "wenda" unamaanisha nini?KENYA NZIMA IPO GIZANI,
Wenda Tanzania ikawa Gizani siku 3
Tunafikilia tuzime au tuache ndo linakuja neno "Wenda" coz Bado Kuna mvutano pande 2Upo vema.Sasa,hilo neno "wenda" unamaanisha nini?