Ni janga la taifa iloUmeme hakuna huku kwetu
Lini tena...😳Anthony siyo marehemu..?🤔😳😳😳
😝😝Nyau ww niache 😂😂
Nipo Sangambi huku chunya umeme umekataUmeme hakuna huku kwetu
Saza mkwajuni umekata alloooo....Rombo umeme umekata
Kuanzia Bukoli, Nyaluyeye hadi Nyalugusu hakuna umeme hadi nimeishiwa pawa...🤭Nani wakala SUNKING SOLAR humu kudadekii hii hali sio powaa
Kote mkuu jana ilikuwa ghana siku zima nchi zima leo tzKuanzia Bukoli, Nyaluyeye hadi Nyalugusu hakuna umeme hadi nimeishiwa pawa...🤭
😁Rostam azizi at work
Nikweli mkuu, umeme ulikata hadi huku Nyampalahala hadi LunzeweKote mkuu jana ilikuwa ghana siku zima nchi zima leo tz
Umejuaje mzee hapa simu yangu ina 6% sijui kama nitamaliza kutyp..Maeneo mengine kama kakola wanasema umeme hautulii mpk sasa
Nikweli mkuu tulikosa pawa kuanzia Ghana, Kirumba, Bwiru, Buswelu, Nyasaka hadi BuzurugaKote mkuu jana ilikuwa ghana siku zima nchi zima leo tz