Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Tatizo nilala mchana dah..!Pumzika mkuu, usije ukapuliza ukaingia kwenye 18 za Beya ama Anthony...😜
Tatizo nilala mchana dah..!Pumzika mkuu, usije ukapuliza ukaingia kwenye 18 za Beya ama Anthony...😜
Wanabanwa sana mkuu, na ukitazama kwa umakini utagundua hata wamejitenga na marafiki zao wa zamani ili kulinda vibarua vyaoWamekuwa watata mno na supa wao mpya 😀😀😀
Umezima umeme kwa sababu za ķiusalama au hujuma kwa nchi na wananchi?Tumezima ndo tunaangalia Kwa one day or 3 Day 😂😂😂
Ndo kina makolo hao and the likes kazi ya lawama tupu ileWanabanwa sana mkuu, na ukitazama kwa umakini utagundua hata wamejitenga na marafiki zao wa zamani ili kulinda vibarua vyao
Bukombe, bugarama. Upo hizo sehemu zote kwa pamoja mkuu au ni karibu karibuBukombe unazima na kuwaka
Dokeza mkuuKuna mtu kanipenyezea nyepesi hapa ngoja kwanza nijiridhishe na hii taarifa ila kama ni kweli kazi ipo watanzania.
Communication mkuu, kwasasa nipo huku bintimanyanga karibu na isangawana...😂Bukombe, bugarama. Upo hizo sehemu zote kwa pamoja mkuu au ni karibu karibu
Hakuna neno hilo kwenye kiswahili.Au ulitaka kuandika "huenda"?WENDA ni kijiji na hospital ipo Iringa vijijini.
Chato hapa umekata tayariGeita,Masumbwe umeme unakuja na kukata chap
Ni changamoto kwelikweliCommunication mkuu, kwasasa nipo huku bintimanyanga karibu na isangawana...😂
Wanachezea switchChato hapa umekata tayari
Anthony siyo marehemu..?🤔😳😳😳Pumzika mkuu, usije ukapuliza ukaingia kwenye 18 za Beya ama Anthony...😜
Mtu wa kutumiaga neno wenda naonaga ndiyo wale wa kusemaga nidipUpo vema.Sasa,hilo neno "wenda" unamaanisha nini?
😄😄😄kusemaga nidip
Ya Wakenya tuwaachie.Yes, Nairobi ni giza same to Arusha huko nako naambiwa ni Giza mbaya. Hapa ni total blackout...
Au anaandika Tahaluki😂Mtu wa kutumiaga neno wenda naonaga ndiyo wale wa kusemaga nidip
Au sipitali badala ya hospitali😄😄😄