Mtu wa Mara
JF-Expert Member
- Apr 10, 2026
- 599
- 1,233
Nichaji simu yangu na mimi
Kama umeme unao wahi kuchaji.Nichaji simu yangu na mimi
Yan umeandika kama umetoka usingizini zen usingizi ukakupitia tena ukalalaKENYA NZIMA IPO GIZANI,
Wenda Tanzania ikawa Gizani siku 3
Hahahanidip
Kwa kweli "inshu" yao ni kubwa.Mtu wa kutumiaga neno wenda naonaga ndiyo wale wa kusemaga nidip
Yes yes....inshu😂 miss kolo yako niliionaKwa kweli "inshu" yao ni kubwa.
Sijuhi halimaanisha nini kwenye hile kahuli😝 ptuuuAu anaandika Tahaluki😂
Kumbe hata wajinga wanazeeka aseee🥱🥱Kwa umri na weledi wangu natakiwa nikutungie misamiati mipya.
Nyau ww niache 😂😂Mtu wa kutumiaga neno wenda naonaga ndiyo wale wa kusemaga nidip
Sasa kama age imeenda na namapengo kama yote nitaacha kusema sipitali na frola kumwita folola na Sonia kumwita Sonya 😂😂😂😂😂Au sipitali badala ya hospitali
Kwenye Nini mkuuWanakata umeme kwenye Uganga Uganga mwingi.
Kama aviator fyuuuuúúuuWasharuka nao ***** 😂