Umtama Mula
JF-Expert Member
- Jan 11, 2021
- 291
- 798
Mbona mmeshazima sasaTunafikilia tuzime au tuache ndo linakuja neno "Wenda" coz Bado Kuna mvutano pande 2
Mbona mmeshazima sasaTunafikilia tuzime au tuache ndo linakuja neno "Wenda" coz Bado Kuna mvutano pande 2
Kumekucha na Arusha piaTanga tupo gizani
Tumezima ndo tunaangalia Kwa one day or 3 Day 😂😂😂Mbona mmeshazima sasa
Hakuna neno hilo kwenye kiswahili.Au ulitaka kuandika "huenda"?WENDA ni kijiji na hospital ipo Iringa vijijini.Tunafikilia tuzime au tuache ndo linakuja neno "Wenda" coz Bado Kuna mvutano pande 2
Ujui kibantu wwHakuna neno hilo kwenye kiswahili.Au ulitaka kuandika "huenda"?WENDA ni kijiji na hospital ipo Iringa vijijini.
Bugarama tupo gizani piaMaeneo mengine kama kakola wanasema umeme hautulii mpk sasa
Kwa umri na weledi wangu natakiwa nikutungie misamiati mipya.Ujui kibantu ww
Kuna kitu unajua wewe.tudokeze. umeme hamna maeneo mengi muda huu.Tunafikilia tuzime au tuache ndo linakuja neno "Wenda" coz Bado Kuna mvutano pande 2
Bukombe unazima na kuwakaGeita,Masumbwe umeme unakuja na kukata chap
Ujerumani ya Mufindi?Ujerumani tupo gizani.
Hamieni Katoro.Bugarama tupo gizani pia
Nipo kasobiraha hapa nataka nikalale kesho day kwenye open hole 😀😀🍻Bugarama tupo gizani pia
Pumzika mkuu, usije ukapuliza ukaingia kwenye 18 za Beya ama Anthony...😜Nipo kasobiraha hapa nataka nikalale kesho day kwenye open hole 😀😀🍻
Tatizo nini?We tulia utaona,sijawai kutoa taarifa fake
Wamekuwa watata mno na supa wao mpya 😀😀😀Pumzika mkuu, usije ukapuliza ukaingia kwenye 18 za Beya ama Anthony...😜