Kenya nzima IPO gizani, wenda Tanzania ikawa gizani siku 3

Lakini jana tanesco walitoa taarifa mapema saana kama saa saba mchana kuwa kuanzia usiku na kwa maeneo mengine ni kuanzia asbuhi mpaka saa kumi na mbili jion kutokana na matengenezo katika grid ya Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…