Kenya sasa inanunua mahindi kutoka Tanzania mara sita zaidi ya kiwango ilichokuwa ikinunua hapo awali

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Kuna wale Malazy waliopinga safari ya rais Samia Suluhu kuja Kenya. Walisema kwamba rais Samia hapaswi kuja Kenya na alistahili kuendeleza roho mbaya na mikwaruzano aliyoanzisha mwendazake ambaye sitamtaja hapa. Lakini cha kushangaza ni kwamba baada ya rais Suluhu kutembea Kenya, sasa Kenya inanunua mahindi mara sita (×6) zaidi ya jinsi tulivyokuwa tukifanya hapo awali.
Kukupa tu mfano wa haraka, Mwezi wa April Kenya iliagiza gunia 16,137 za mahindi kutoka Tanzania. Baada ya rais Samia kutembea Kenya basi mwezi wa Mei Kenya iliagiza gunia 118,329 za mahindi kutoka Tanzania. Ongezeko hilo la kishindo la mwezi wa Mei ni karibu mara kumi ya agizo la mwezi wa April. Sasa wewe mwenyewe hebu fikiria ni vipi Kenya inaweza kuongeza agizo lake la mahindi kutoka Tanzania kwa zaidi ya mara sita au saba ndani ya kipindi cha mwezi moja. Bila shaka vita vya Magufuli viliumiza wakulima wenu na kuwanyima pesa nyingi sana. Bila shaka wanaofaidika sasa ni wakulima wa mahindi wa Tanzania. Hapa Kenya tunakula ugali sana na nchi yetu sehemu kubwa ni jangwa. Ujirani mwema baina yetu utawafaidi nyinyi majirani kwa sana maana nyinyi mnazalisha chakula na sisi tunanunua. Tujengane sio kutukanana na kufungiana mipaka kama alivyopenda kufanya mwendazake ambaye alikuwa na isolationist mindset, yaani alipenda kujifungia na kukataa kushiriki na majirani wenzake.

Wanaotaka kusoma taarifa kwa kiingereza, hii hapa chini.
 
Tanzania maize exports to Kenya surge sixfold after Suluhu visit​

THURSDAY AUGUST 05 2021
suluhu

Kenya's President Uhuru Kenyatta (R) and Tanzanian President Samia Suluhu Hassan (2nd L) at the State House in Nairobi on May 4, 2021. FILE PHOTO | AFP

geraldandae

By GERALD ANDAE
More by this Author

SUMMARY​

  • Maize imports from Tanzania jumped more than sixfold to 118,329 bags in May on the back of President Samia Suluhu’s visit to Kenya that saw Dar and Nairobi reach a deal to lift a ban that had been put in place.
  • The Agriculture ministry says the volumes jumped from 16,137 bags in April to a monthly record of 118,329 in May after a bilateral deal abolished the restrictions that Nairobi had imposed on Tanzanian maize.
  • Kenya is a maize deficit country and relies on imports from Tanzania and Uganda to meet its annual demand.

Maize imports from Tanzania jumped more than sixfold to 118,329 bags in May on the back of President Samia Suluhu’s visit to Kenya that saw Dar and Nairobi reach a deal to lift a ban that had been put in place.

The Agriculture ministry says the volumes jumped from 16,137 bags in April to a monthly record of 118,329 in May after Ms Suluhu and her Kenyan counterpart Uhuru Kenyatta reached a bilateral deal to abolish the restrictions that Nairobi had imposed on Tanzanian maize.

Kenya had in April banned maize imports from Tanzania and Uganda, citing a high level of aflatoxin beyond the required minimum of 10 parts per billion.

“Informal cross-border trade reported that the total quantity of maize imports in April was 16,731 bags. In May, the imports increased to 118,329 bags,” said the ministry.

“There was reduced importation of maize in April, which is attributed to restriction of importation of maize across the region.”

Kenya is a maize deficit country and relies on imports from Tanzania and Uganda to meet its annual demand.

Kenya started mending fences with Tanzania shortly after Ms Suluhu trip to Nairobi, with trade ministers from the two countries meeting in Arusha just weeks after the visit to address other underlying trade issues.

For instance, Tanzania agreed to abolish inspection fees for processed products with standardisation marks, giving Kenyan goods a smooth entry into their market.

Tanzania said it would allow Kenyan juices and wheat flour to access its market following a bilateral meeting that resolved the trade barriers that had seen these goods face clearance hurdles at the border.

Tanzania said it has started implementing the Single Window System, which has reduced delays in the clearance of pineapple juices produced in Kenya.

The meeting directed Kenya Revenue Authority and Tanzania Revenue Authority to explore the possibilities of granting preferential access to cigarettes made in Kenya tobacco sourced from Tanzania and report back in the next bilateral meeting.

Kenya agreed to grant cement from Tanzania preferential treatment in accessing its market.

To enhance the process of clearance of goods, it was agreed that Single Customs Territory to be fully implemented by both parties.
 
Nilishasema, asili ya uzanzibari ya huyu mama utafanya tuendane vizuri sana kibiashara na mahusiano, chokochoko zitapungua maana hamna chembe chembe za chuki, majungu wala wivu.
Kwa sasa rais wetu ahakikishe hamna mahindi yanaagizwa kutoka sijui wapi huko Brazil, tununue matani yote kutoka kwa hawa licha ya maugomvi yao.
 
Tanzanite msiiguse lakini
 
Kuna wale Malazy waliopinga safari ya rais Samia Suluhu kuja Kenya. Walisema kwamba rais Samia hapaswi kuja Kenya na alistahili kuendeleza roho mbaya na mikwaruzano aliyoanzisha mwendazake ambaye sitamtaja hapa. Lakini cha kushangaza ni kwamba baada ya rais Suluhu kutembea Kenya, sasa Kenya inanunua mahindi mara sita (×6) zaidi ya jinsi tulivyokuwa tukifanya hapo awali.
Kukupa tu mfano wa haraka, Mwezi wa April Kenya iliagiza gunia 16,137 za mahindi kutoka Tanzania. Baada ya rais Samia kutembea Kenya basi mwezi wa Mei Kenya iliagiza gunia 118,329 za mahindi kutoka Tanzania. Ongezeko hilo la kishindo la mwezi wa Mei ni karibu mara kumi ya agizo la mwezi wa April. Sasa wewe mwenyewe hebu fikiria ni vipi Kenya inaweza kuongeza agizo lake la mahindi kutoka Tanzania kwa zaidi ya mara sita au saba ndani ya kipindi cha mwezi moja. Bila shaka vita vya Magufuli viliumiza wakulima wenu na kuwanyima pesa nyingi sana. Bila shaka wanaofaidika sasa ni wakulima wa mahindi wa Tanzania. Hapa Kenya tunakula ugali sana na nchi yetu sehemu kubwa ni jangwa. Ujirani mwema baina yetu utawafaidi nyinyi majirani kwa sana maana nyinyi mnazalisha chakula na sisi tunanunua. Tujengane sio kutukanana na kufungiana mipaka kama alivyopenda kufanya mwendazake ambaye alikuwa na isolationist mindset, yaani alipenda kujifungia na kukataa kushiriki na majirani wenzake.

Wanaotaka kusoma taarifa kwa kiingereza, hii hapa chini.
Umesema hutamtaja ila mpaka umemtaja😂😂😂😂

Vyovyote iwavyo si jambo la kufurahia hata kidogo mtu kutunga sera ambazo zinaathiri maisha ya watu wa chini (wakulima wanabakI na mahindi) soko la ndani limejaa matokeo yake ni mahindi kuharibika au wauze kwa bei mbuzI

Ni mkosa akili tu ndio atafurahia kuona hilo kwa ndugu zake. Mtu kalima mtengenezee mazingira auze popote pale sio kuweka vikwazo visivyo na kichwa wala miguu kwa ugomvi hata usioeleweka
 
Habari njema sana Kwa wakulima hiyo,majirani wanapaswa kishirikina na kupendana km hivi

By the way,Kiswahili chako ni kizuri na kimenyooka km cha kibongo.Bila Shaka umewahi kuishi Tz
 
Kuna wale Malazy waliopinga safari ya rais Samia Suluhu kuja Kenya. Walisema kwamba rais Samia hapaswi kuja Kenya na alistahili kuendeleza roho mbaya na mikwaruzano aliyoanzisha mwendazake ambaye sitamtaja hapa. Lakini cha kushangaza ni kwamba baada ya rais Suluhu kutembea Kenya, sasa Kenya inanunua mahindi mara sita (×6) zaidi ya jinsi tulivyokuwa tukifanya hapo awali.
Kukupa tu mfano wa haraka, Mwezi wa April Kenya iliagiza gunia 16,137 za mahindi kutoka Tanzania. Baada ya rais Samia kutembea Kenya basi mwezi wa Mei Kenya iliagiza gunia 118,329 za mahindi kutoka Tanzania. Ongezeko hilo la kishindo la mwezi wa Mei ni karibu mara kumi ya agizo la mwezi wa April. Sasa wewe mwenyewe hebu fikiria ni vipi Kenya inaweza kuongeza agizo lake la mahindi kutoka Tanzania kwa zaidi ya mara sita au saba ndani ya kipindi cha mwezi moja. Bila shaka vita vya Magufuli viliumiza wakulima wenu na kuwanyima pesa nyingi sana. Bila shaka wanaofaidika sasa ni wakulima wa mahindi wa Tanzania. Hapa Kenya tunakula ugali sana na nchi yetu sehemu kubwa ni jangwa. Ujirani mwema baina yetu utawafaidi nyinyi majirani kwa sana maana nyinyi mnazalisha chakula na sisi tunanunua. Tujengane sio kutukanana na kufungiana mipaka kama alivyopenda kufanya mwendazake ambaye alikuwa na isolationist mindset, yaani alipenda kujifungia na kukataa kushiriki na majirani wenzake.

Wanaotaka kusoma taarifa kwa kiingereza, hii hapa chini.
Kazi Iendelee
 
Tanzania maize exports to Kenya surge sixfold after Suluhu visit​

THURSDAY AUGUST 05 2021
suluhu

Kenya's President Uhuru Kenyatta (R) and Tanzanian President Samia Suluhu Hassan (2nd L) at the State House in Nairobi on May 4, 2021. FILE PHOTO | AFP

geraldandae

By GERALD ANDAE
More by this Author

SUMMARY​

  • Maize imports from Tanzania jumped more than sixfold to 118,329 bags in May on the back of President Samia Suluhu’s visit to Kenya that saw Dar and Nairobi reach a deal to lift a ban that had been put in place.
  • The Agriculture ministry says the volumes jumped from 16,137 bags in April to a monthly record of 118,329 in May after a bilateral deal abolished the restrictions that Nairobi had imposed on Tanzanian maize.
  • Kenya is a maize deficit country and relies on imports from Tanzania and Uganda to meet its annual demand.

Maize imports from Tanzania jumped more than sixfold to 118,329 bags in May on the back of President Samia Suluhu’s visit to Kenya that saw Dar and Nairobi reach a deal to lift a ban that had been put in place.

The Agriculture ministry says the volumes jumped from 16,137 bags in April to a monthly record of 118,329 in May after Ms Suluhu and her Kenyan counterpart Uhuru Kenyatta reached a bilateral deal to abolish the restrictions that Nairobi had imposed on Tanzanian maize.

Kenya had in April banned maize imports from Tanzania and Uganda, citing a high level of aflatoxin beyond the required minimum of 10 parts per billion.

“Informal cross-border trade reported that the total quantity of maize imports in April was 16,731 bags. In May, the imports increased to 118,329 bags,” said the ministry.

“There was reduced importation of maize in April, which is attributed to restriction of importation of maize across the region.”

Kenya is a maize deficit country and relies on imports from Tanzania and Uganda to meet its annual demand.

Kenya started mending fences with Tanzania shortly after Ms Suluhu trip to Nairobi, with trade ministers from the two countries meeting in Arusha just weeks after the visit to address other underlying trade issues.

For instance, Tanzania agreed to abolish inspection fees for processed products with standardisation marks, giving Kenyan goods a smooth entry into their market.

Tanzania said it would allow Kenyan juices and wheat flour to access its market following a bilateral meeting that resolved the trade barriers that had seen these goods face clearance hurdles at the border.

Tanzania said it has started implementing the Single Window System, which has reduced delays in the clearance of pineapple juices produced in Kenya.

The meeting directed Kenya Revenue Authority and Tanzania Revenue Authority to explore the possibilities of granting preferential access to cigarettes made in Kenya tobacco sourced from Tanzania and report back in the next bilateral meeting.

Kenya agreed to grant cement from Tanzania preferential treatment in accessing its market.

To enhance the process of clearance of goods, it was agreed that Single Customs Territory to be fully implemented by both parties.
Hivi ni nchi gani iliyozuia mahindi ya Tanzania na Uganda kuingia Kenya bila sababu za msingi?, ninyi wakenya ni watu wenye kupenda chokochoko na majirani zenu wote, "soon honeymoon" will be over mtaanza kukorofishana na mama Samia Suluhu.

Kuhusu hii biashara ya mahindi, mwenye kufaidika zaidi ni ninyi wakenya kwasababu wakenya wengi walikua wanakufa kwa njaa, hakuna mkulima yeyote wa Tanzania aliyekufa kwa sababu ya kutouza mahindi Kenya.
 
Umesema hutamtaja ila mpaka umemtaja😂😂😂😂

Vyovyote iwavyo si jambo la kufurahia hata kidogo mtu kutunga sera ambazo zinaathiri maisha ya watu wa chini (wakulima wanabakI na mahindi) soko la ndani limejaa matokeo yake ni mahindi kuharibika au wauze kwa bei mbuzI

Ni mkosa akili tu ndio atafurahia kuona hilo kwa ndugu zake. Mtu kalima mtengenezee mazingira auze popote pale sio kuweka vikwazo visivyo na kichwa wala miguu kwa ugomvi hata usioeleweka

Umeiweka vizuri, soko la mahindi Kenya ni muhimu sana, ikiwemo viwandani tunahitaji mahindi sana......wakulima wenu watatoka kimasomaso kama wakiruhusiwa kukuza hilo zao na kuuza bila vizuizi vyovyote, mapori mko nayo ya kutosha, kazi kulima tu.

Japo naona suala la mbolea limekua tata kwenu huko Naiomba serikali iangalia vizuri kuhusu bei za mbolea zilizo ongezeka hivi karibuni
 
Tunawauzia mahindi ghafi Kwa bei rahisi wao Kenya wanaongea thamani na kupelekea South Sudan. Wajinga ndiyo tuliwao.
 
Hivi ni nchi gani iliyozuia mahindi ya Tanzania na Uganda kuingia Kenya bila sababu za msingi?, ninyi wakenya ni watu wenye kupenda chokochoko na majirani zenu wote, "soon honeymoon" will be over mtaanza kukorofishana na mama Samia Suluhu.

Kuhusu hii biashara ya mahindi, mwenye kufaidika zaidi ni ninyi wakenya kwasababu wakenya wengi walikua wanakufa kwa njaa, hakuna mkulima yeyote wa Tanzania aliyekufa kwa sababu ya kutouza mahindi Kenya.
COVID-19 imekuwa ya faida kwa wakulima wenu, sio siri. Yaani ilivyomuondoa tu yule mwendazake mzee wa mikwara, mliependa kumsifia humu, wananchi wenzenu sasa wameanza kujihisi kama watanzania. Angalau sasa wanapata senti kadhaa za ziada za kuwawezesha kuishi kama binadamu. Sio mashetani tena kama mlivyokuwa mmewapangia nyie mataga na roho zenu nyeusi.
 
Angalau Sasa idadi ya wakenya wanaokufa kwa njaa itapungua, sisi ndio tunaoshikilia uhai wa raia wa Kenya, bila chakula toka Tanzania maisha Kenya ni "almost impossible".
Who feeds you, controls you[emoji38][emoji38]
 
COVID-19 imekuwa ya faida kwa wakulima wenu, sio siri. Yaani ilivyomuondoa tu yule mwendazake mzee wa mikwara, mliependa kumsifia humu, wananchi wenzenu sasa wameanza kujihisi kama watanzania. Angalau sasa wanapata senti kadhaa za ziada za kuwawezesha kuishi kama binadamu. Sio mashetani tena kama mlivyokuwa mmewapangia nyie mataga na roho zenu nyeusi.
Angeweka lockdown huyo unamlaumu hayo mahindi mngeyatoa wapi leo?
 
Hivi ni nchi gani iliyozuia mahindi ya Tanzania na Uganda kuingia Kenya bila sababu za msingi?, ninyi wakenya ni watu wenye kupenda chokochoko na majirani zenu wote, "soon honeymoon" will be over mtaanza kukorofishana na mama Samia Suluhu.

Kuhusu hii biashara ya mahindi, mwenye kufaidika zaidi ni ninyi wakenya kwasababu wakenya wengi walikua wanakufa kwa njaa, hakuna mkulima yeyote wa Tanzania aliyekufa kwa sababu ya kutouza mahindi Kenya.
Sasa wewe huoni wakulima wakishindwa kuuza mahindi yao kwa muda muafaka na bei nzuri ni hasara hiyo?

Acha kutufanya wabongo tuonekane mambumbumbu..Hizi chochochoko alizozileta mwendazake zilififisha juhudi za wakulima kujitengenezea kipato..na sio mahindi tu,na kwenye korosho,ufuta n.k.
 
Kuna wale Malazy waliopinga safari ya rais Samia Suluhu kuja Kenya. Walisema kwamba rais Samia hapaswi kuja Kenya na alistahili kuendeleza roho mbaya na mikwaruzano aliyoanzisha mwendazake ambaye sitamtaja hapa. Lakini cha kushangaza ni kwamba baada ya rais Suluhu kutembea Kenya, sasa Kenya inanunua mahindi mara sita (×6) zaidi ya jinsi tulivyokuwa tukifanya hapo awali.
Kukupa tu mfano wa haraka, Mwezi wa April Kenya iliagiza gunia 16,137 za mahindi kutoka Tanzania. Baada ya rais Samia kutembea Kenya basi mwezi wa Mei Kenya iliagiza gunia 118,329 za mahindi kutoka Tanzania. Ongezeko hilo la kishindo la mwezi wa Mei ni karibu mara kumi ya agizo la mwezi wa April. Sasa wewe mwenyewe hebu fikiria ni vipi Kenya inaweza kuongeza agizo lake la mahindi kutoka Tanzania kwa zaidi ya mara sita au saba ndani ya kipindi cha mwezi moja. Bila shaka vita vya Magufuli viliumiza wakulima wenu na kuwanyima pesa nyingi sana. Bila shaka wanaofaidika sasa ni wakulima wa mahindi wa Tanzania. Hapa Kenya tunakula ugali sana na nchi yetu sehemu kubwa ni jangwa. Ujirani mwema baina yetu utawafaidi nyinyi majirani kwa sana maana nyinyi mnazalisha chakula na sisi tunanunua. Tujengane sio kutukanana na kufungiana mipaka kama alivyopenda kufanya mwendazake ambaye alikuwa na isolationist mindset, yaani alipenda kujifungia na kukataa kushiriki na majirani wenzake.

Wanaotaka kusoma taarifa kwa kiingereza, hii hapa chini.
Mwendazake alitaka tuwauzie unga badala ya mahindi. Alikuwa na akili kubwa.

Vv
 
Back
Top Bottom