Tutatengeneza chakula cha kuku mengine WFP wananunua na pia tutalishia nguruweAnd who is a loser here?
Tanzania is a loser!
Chakula chetu kitaoezea ndani,no one to sell to!
Unaringia soko?
Hivi soko linachezewa?
Use brains
no we wont loose, kitachotokea hapa tz ni kuwa supply itakuwa kubwa na demand ya chakula itapungua ivyo basi sisi bei ya chakula itapungua ila kazi ipo huko kwa jamaa wana pesa chakula hawana mbona watafurahia shooMkuu we both loose, you'll face shortage of food, we'd loose market.
It's a loose loose situation.
Nashangaa Mkenya anayemcheka mTanzania na mTanzania anayemcheka mKenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Tanzania huwa tunakuwa na njaa.Hao Ethiopia wenye njaa,nzige Chakula kitauzwa WFP kipelekwe Somalia.
Kama hujafika Kenya bora unyamaze, Kenya is the strongest economy in East Africa.Sasa mbona kila siku kuipigia domo hadi mnasahau kufanya kilimo...halafu tukiangazia kiuhalisia ukitoa Burundi kuna nchi fukara hapa EAC kushinda Kenya kweli
And who is a loser here?
Tanzania is a loser!
Chakula chetu kitaoezea ndani,no one to sell to!
Unaringia soko?
Hivi soko linachezewa?
Use brains
Mkuu tuna nchi 8 tunafanyanazo biashara sisi tunapeleka chakula hadi comoro na zanzibar hivyo vitunguu na nyanya tunapeleka comoro for your information tuna trade na zambia,malawi,uganda,rwanda,burundi,congo,msumbiji na nyingine nyingiSoon gunia la vitunguu litashuka mpk Tsh. elfu 50,Karoti za Buku tutakua tunajaziwa ndoo nzima ile ndogo hapo wananchi wanyonge kwetu ni swadakta tu maana vilipanda bei sana tu.
Kwenye makaratasi reality watu wanakufa njaa kiberaKama hujafika Kenya bora unyamaze, Kenya is the strongest economy in East Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana hawana chakula cha kuwatosha japo week?Jana tu, leo tayari...
But sio worse kama inavyokua kenya kama mwaka huu kenya watakua na njaa sana kwasababu walivamiwa na nzige na mafuriko yamewapiga sana while sisi watu wanavuna mahindi saizi yako kibao na WFP na Mo wako songea huko wananunua mahindi wanapeleka congo na nchi nyingine sisi tunauza unga hadi rwanda na burundi huko bakhera katapakaa balaaa
Ardhi ynyw ya kulima iko wapi, mbn unawasanifu mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hao Ethiopia juzi walitungua ndege yenu na hakuna kitu mtawafanya [emoji23]
Usisahau pia Uganda nao wana janga la nzige, mafuriko kama nyie tu kwa hiyo sio pa kutegemea sana,
Yaani badala huyo waziri wenu ahimize kilimo nchini kwenu eti anahimiza kutegemea majirani.
Mkuu tuna nchi 8 tunafanyanazo biashara sisi tunapeleka chakula hadi comoro na zanzibar hivyo vitunguu na nyanya tunapeleka comoro for your information tuna trade na zambia,malawi,uganda,rwanda,burundi,congo,msumbiji na nyingine nyingi
Wewe si umefika Nairobi pekee.. Halafu nazungumzia hali ya maisha ya wananchi husika...Not the so called GDPKama hujafika Kenya bora unyamaze, Kenya is the strongest economy in East Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiogope ile ilikua nchi nzima ilizuiwa kuunza nje ili tusife na njaa ila saizi mipaka iko wazi hapo Uganda tu wameanza kuishiwa chakula rais wao leo kawaambia waanze kufanya rationing ya chakula manake watakuja kununua mahindi huku. Pia nzige ziliipiga uganda pia so pakuuza mahindi kupo na WFP wapo mikoani huko wananunua mahindiMimi sina tatizo na hilo suala kabisaa mzee,ila ninachojua vita ya kibiashara haijawahi kua na mshindi(US Vs China) wote lazima muumie tu.
Nimejionea majuzi kati hapa kipindi mahindi yalivyopigwa marufuku kwenda Kenya madhara waliyoyapata wakulima tena mpk wale wakubwa wakubwa akiweko yule jamaa aliyekua mmiliki wa ma-bus ya Sumri tena yeye ana tani za mahindi maelfu kwa maelfu sasa sijui hakuona hizo nchi 8 zingine zinazotuzunguka,hio sijui mzee baba.
Niliona pia wakulima wadogo wadogo/wa kati wa Karoti,nyanya,vitunguu jinsi ambavyo nyumba zao zilitaka kupigwa minada na taasisi za mikopo baada ya wao kushindwa kulipa mikopo yao.
Mimi ninachofurahia tu ni kwamba soon vitunguu,nyanya,karoti na vitu vingine vinaenda kushuka bei kwa kasi na nitaenjoy maisha that's all boss.
Walime kwenye ndoo mbovu mbovu, makopo, mifuko na karai zilizo pasuka [emoji23]Ardhi ynyw ya kulima iko wapi, mbn unawasanifu mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
South sudan na Somalia pia mnaweza mkanunua huko [emoji848]Ethiopia is one of our neighbors. He also mentioned Uganda, so why have you insisted that we have turned to Ethiopia and excluding Uganda?
Hapo nimekusoma mkuu,ngoja tuone hii mambo itaendaje.Mkuu usiogope ile ilikua nchi nzima ilizuiwa kuunza nje ili tusife na njaa ila saizi mipaka iko wazi hapo Uganda tu wameanza kuishiwa chakula rais wao leo kawaambia waanze kufanya rationing ya chakula manake watakuja kununua mahindi huku. Pia nzige ziliipiga uganda pia so pakuuza mahindi kupo na WFP wapo mikoani huko wananunua mahindi
Gharama itakuwa juu kuagiza chakula kutoka mbali, mwambieni Kenyatta aache kiburi ataumiza sana watu wa kiberaUna akili kama siafu. Kuna nchi zinazalisha chakula kingi Dunia. Akili yako inawaza chakula tuu. Kuna mataifa yanazalisha chakula Kenya itaagiza vyakula kutoka kwao sio lazima wanunue Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwape wiki tu wakenya wenyewe watafungua mipaka wanategemea chakula hadi nyanya toka tanzania hata karoti zimewashinda kulima wanakuja kununua moshi kilimanjaroHapo nimekusoma mkuu,ngoja tuone hii mambo itaendaje.
Kwa mtizamo wako unadhani hii kitu mwisho wake utaweza kuishaje mkuu?
Haina noma ngoja tusikilizie,ingawa najua muda viongozi wa EAC watakua wanajaribu kuwasuluhisha Magu&Kenyatta ili mambo iishe.Tuwape wiki tu wakenya wenyewe watafungua mipaka wanategemea chakula hadi nyanya toka tanzania hata karoti zimewashinda kulima wanakuja kununua moshi kilimanjaro
yeah nyuma ya pazia diplomacy inaendelea sisi ni ndugu tumeoleana pia kuna makabila mengi yapo Kenya na Tanzania shida ni kibuli tu cha vijana kule kenyaHaina noma ngoja tusikilizie,ingawa najua muda viongozi wa EAC watakua wanajaribu kuwasuluhisha Magu&Kenyatta ili mambo iishe.