Kenya yaigeukia Ethiopia kujaza pengo la upungufu wa chakula lililoachwa wazi na Tanzania

Mkuu we both loose, you'll face shortage of food, we'd loose market.

It's a loose loose situation.

Nashangaa Mkenya anayemcheka mTanzania na mTanzania anayemcheka mKenya

Sent using Jamii Forums mobile app
no we wont loose, kitachotokea hapa tz ni kuwa supply itakuwa kubwa na demand ya chakula itapungua ivyo basi sisi bei ya chakula itapungua ila kazi ipo huko kwa jamaa wana pesa chakula hawana mbona watafurahia shoo
 
Soon gunia la vitunguu litashuka mpk Tsh. elfu 50,Karoti za Buku tutakua tunajaziwa ndoo nzima ile ndogo hapo wananchi wanyonge kwetu ni swadakta tu maana vilipanda bei sana tu.
Mkuu tuna nchi 8 tunafanyanazo biashara sisi tunapeleka chakula hadi comoro na zanzibar hivyo vitunguu na nyanya tunapeleka comoro for your information tuna trade na zambia,malawi,uganda,rwanda,burundi,congo,msumbiji na nyingine nyingi
 
Hata Tanzania huwa tunakuwa na njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
But sio worse kama inavyokua kenya kama mwaka huu kenya watakua na njaa sana kwasababu walivamiwa na nzige na mafuriko yamewapiga sana while sisi watu wanavuna mahindi saizi yako kibao na WFP na Mo wako songea huko wananunua mahindi wanapeleka congo na nchi nyingine sisi tunauza unga hadi rwanda na burundi huko bakhera katapakaa balaaa
 
Hao Ethiopia juzi walitungua ndege yenu na hakuna kitu mtawafanya [emoji23]

Usisahau pia Uganda nao wana janga la nzige, mafuriko kama nyie tu kwa hiyo sio pa kutegemea sana,

Yaani badala huyo waziri wenu ahimize kilimo nchini kwenu eti anahimiza kutegemea majirani.
Ardhi ynyw ya kulima iko wapi, mbn unawasanifu mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu tuna nchi 8 tunafanyanazo biashara sisi tunapeleka chakula hadi comoro na zanzibar hivyo vitunguu na nyanya tunapeleka comoro for your information tuna trade na zambia,malawi,uganda,rwanda,burundi,congo,msumbiji na nyingine nyingi

Mimi sina tatizo na hilo suala kabisaa mzee,ila ninachojua vita ya kibiashara haijawahi kua na mshindi(US Vs China) wote lazima muumie tu.

Nimejionea majuzi kati hapa kipindi mahindi yalivyopigwa marufuku kwenda Kenya madhara waliyoyapata wakulima tena mpk wale wakubwa wakubwa akiweko yule jamaa aliyekua mmiliki wa ma-bus ya Sumri tena yeye ana tani za mahindi maelfu kwa maelfu sasa sijui hakuona hizo nchi 8 zingine zinazotuzunguka,hio sijui mzee baba.

Niliona pia wakulima wadogo wadogo/wa kati wa Karoti,nyanya,vitunguu jinsi ambavyo nyumba zao zilitaka kupigwa minada na taasisi za mikopo baada ya wao kushindwa kulipa mikopo yao.

Mimi ninachofurahia tu ni kwamba soon vitunguu,nyanya,karoti na vitu vingine vinaenda kushuka bei kwa kasi na nitaenjoy maisha that's all boss.
 
Mkuu usiogope ile ilikua nchi nzima ilizuiwa kuunza nje ili tusife na njaa ila saizi mipaka iko wazi hapo Uganda tu wameanza kuishiwa chakula rais wao leo kawaambia waanze kufanya rationing ya chakula manake watakuja kununua mahindi huku. Pia nzige ziliipiga uganda pia so pakuuza mahindi kupo na WFP wapo mikoani huko wananunua mahindi
 
Ethiopia is one of our neighbors. He also mentioned Uganda, so why have you insisted that we have turned to Ethiopia and excluding Uganda?
South sudan na Somalia pia mnaweza mkanunua huko [emoji848]
 
Mkuu usiogope ile ilikua nchi nzima ilizuiwa kuunza nje ili tusife na njaa ila saizi mipaka iko wazi hapo Uganda tu wameanza kuishiwa chakula rais wao leo kawaambia waanze kufanya rationing ya chakula manake watakuja kununua mahindi huku. Pia nzige ziliipiga uganda pia so pakuuza mahindi kupo na WFP wapo mikoani huko wananunua mahindi
Hapo nimekusoma mkuu,ngoja tuone hii mambo itaendaje.

Kwa mtizamo wako unadhani hii kitu mwisho wake utaweza kuishaje mkuu?
 
Una akili kama siafu. Kuna nchi zinazalisha chakula kingi Dunia. Akili yako inawaza chakula tuu. Kuna mataifa yanazalisha chakula Kenya itaagiza vyakula kutoka kwao sio lazima wanunue Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama itakuwa juu kuagiza chakula kutoka mbali, mwambieni Kenyatta aache kiburi ataumiza sana watu wa kibera
 
Hapo nimekusoma mkuu,ngoja tuone hii mambo itaendaje.

Kwa mtizamo wako unadhani hii kitu mwisho wake utaweza kuishaje mkuu?
Tuwape wiki tu wakenya wenyewe watafungua mipaka wanategemea chakula hadi nyanya toka tanzania hata karoti zimewashinda kulima wanakuja kununua moshi kilimanjaro
 
Haina noma ngoja tusikilizie,ingawa najua muda viongozi wa EAC watakua wanajaribu kuwasuluhisha Magu&Kenyatta ili mambo iishe.
 
yeah nyuma ya pazia diplomacy inaendelea sisi ni ndugu tumeoleana pia kuna makabila mengi yapo Kenya na Tanzania shida ni kibuli tu cha vijana kule kenya
 
Back
Top Bottom